Recent content by nahor

  1. N

    Nawezaje kupata views nyingi pamoja na subscribers wengi kwenye account yangu ya You tube

    Mimi ndo kwanza natamani kufungua YouTube channel Na saiv ndo natafuta wa kunisadia. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. N

    HUDUMA: Usafi wa majumbani na wahudumu wa kazi ndogo ndogo

    Malipo yakoje Kwa mhudumu wa Mifugo? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    pata moka kali kwa 130000 tu ..free delivery kwa dar

    Mi navaa 46. Nimekipenda hiki cha mwisho. IPO saiz yangu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    Je, Unahitaji Website: Ofa Maalum ya Website kwa Wajasiriamali wadogo 50% OFF?

    Mimi ninashida ya kufunguliwa youtube channel Sent using Jamii Forums mobile app
  5. N

    Tunatengeneza mabwawa kwa ajili ya ufugaji wa samaki

    Naombeni kuuliza kati ya ufugaji wa samaki na ufugaji wa kuku upi ni rahisi kufuga? Pia upi unafaida kubwa? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. N

    Vitu vya ndani vinauzwa

    Muuzaji hayuko serious anaambiwa aweke picha hatak. Anatuuzia mbuzi kwenye box Sent using Jamii Forums mobile app
  7. N

    Weeder mashine ya kupalia mazao shambani inauzwa

    Je kama nyasi zikiwa ndefu sana kinaweza kuzipalilia? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. N

    Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

    Je inaruhusiwa kuuziana lain izo bila kampuni kuhusishwa? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. N

    Forex trading short course

    Lini tena course hii itafanyika? Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
  10. N

    Forex trading short course

    Kama kuna group la forex naombwa kuugwa Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
  11. N

    Forex business using TORO

    Am looking for forex mentor
  12. N

    Biashara ya kunenepesha ng'ombe kuuza

    I love cows, i love keeping them, i love their business, not only that my favourite foods are meat and milk. One yes!
  13. N

    Ufafanuzi: Kwanini bei ya hisa za vodacom ni shilingi 850/=?

    Kima cha chini wanaanza kuuza hisa ngapi?
Back
Top Bottom