monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,486
- 13,017
Habari za muda huu ndugu wanajukwaa
Rejeeni mada tajwa hapo juu.Ninayo account You tube,naombeni msaada wenu nifanyeje ili niweze kupata views nyingi pamoja na subscribers wengi (kama mnavyofahamu You tube huanza kumlipa Client wao pindi anapofikisha views 10,000,subscribers 1,000 pamoja na watching hours 4,000)
Naombeni msaada ndugu zangu,nielekezeni namna gani naweza kutoboa maisha kwa kutumia You tube account
NB;kwa hivi sasa ninazo views 307 na subscribers 23.Nilifungua account wiki moja iliyopita
Asanteni sana!