Recent content by nahonho

  1. N

    Msaada: Nataka kusoma Bachelor of Arts with Special Education

    udom wanatoa inclusive education.. specialization haipo.. wapo general.. saut tabora wanatoa special ed. ila sijajua ubora wao.. Sekomu wamejiimarisha zaid hasa kwa speciality mbili (hearing imparement na visual) hasa practically.. watu Wa HI kwa Mfano; audiology wapo vizuri sana pale...
  2. N

    ACT - Wazalendo yazidi kupata wananachama toka CHADEMA

    muulize Shekifu akupe majibu.
  3. N

    Hii ndiyo Katiba ACT, pakua na isome hapa.

    demokrasia yenyewe ipi?? ya kumfanya mwenyekiti awe chini ya mfalme kinyemela? shame
  4. N

    Mchakato wa urais SEKOMU

    mkuu sodium; hebu jaribu kupitia hata post yake uone akili ya mweka post. anashindwa hata kuandika kiswahili kilichonyooka.. aliwahi kuja na post kadhaa hapa ikiwemo ya leakage ya mitihani. anafatwa atoe ushahidi anadai Kuna Mtu anatumia ID yake;; tukaamua kumwacha Ili ajifunze lkn still...
  5. N

    Mchakato wa urais SEKOMU

    ndugu yangu unatia huruma sana.. so what?? Njoo na ID yako original usitumie jina la Mtu. shame on you.
  6. N

    ACT Tanzania Yazidi kuuungwa Mkono huku Tanga

    mtadanganya sana lkn ukweli utajulikana October. nimeongea na viongozi wangu Wa chama Lushoto akiwemo katibu Wa jimbo la Lushoto ulolisemea na katibu Wa Bavicha mkoa Wa tanga ndugu germano mbelwa anasema hajaona Hata alama ya Act.
  7. N

    Nimeamua kujiondoa CHADEMA kwani ni chama cha kibaguzi

    hajwahi kuwa kiongozi ila aligombea ukatibu Wa Bavicha akapigwa chin na Kamanda mengine ambaye wanachama waliona anatosha. MKT Wa wilaya anaitwa singano; katibu ni abdala; katibu Bavicha ni mgani; mwenyekiti jimbo ni Mtoi; katibu jimbo ni mbelwa. hiyo ni safu ilotoka madarakani. aje ataje...
  8. N

    Nimeamua kujiondoa CHADEMA kwani ni chama cha kibaguzi

    Mimi ni mwenyekiti Wa chaso sekomu na mwenyekiti Wa kamati ya hamasa na mikutano lushoto. jina Philip lulinda ni geni kwangu na napenda niwaarifu wadau hapa jf kuwa ndugu yangu kapotosha umma. kwanza zoezi LA Chadema ni msingi hatukuwa na Kamanda mwenye jina hilo kama mwenyewe anavojiita...
  9. N

    Nimeamua kujiondoa CHADEMA kwani ni chama cha kibaguzi

    Mimi ni mwenyekiti Wa chaso sekomu na mwenyekiti Wa kamati ya hamasa na mikutano lushoto. jina Philip lulinda ni geni kwangu na napenda niwaarifu wadau hapa jf kuwa ndugu yangu kapotosha umma. kwanza zoezi LA Chadema ni msingi hatukuwa na Kamanda mwenye jina hilo kama mwenyewe anavojiita...
  10. N

    Shehena ya kwanza ya mabomba ya gesi Mtwara yawasili

    Kweli ww mwana mtoka pabaya... Mtwra hatuna ukanda bt tunataka raslimali iliyopo itunufaishe kwanza ss km wenyeji wa mradi.. Gesi kutoka kwa mabavu si uungwana hata kidogo.. Siku mamayako mzazi akibakwa na jwtz wa pinda utajutia hiyo kauli yako
  11. N

    Sakata la uchimbaji wa bauxite changamoto mpya lushoto.

    Kama ilivyo ada kwa serikali ya CCM kufumbia macho maslahi ya umma na kuwabeba wawekezaji huku raia wakiachwa na athari za uchimbaji madini tanzania, UCHIMBAJI UNAOTARAJIWA KUANZA HIVI KARIBUNI WA MADINI YA BAUXITE KIJIJI CHA MAGAMBA WILAYA YA LUSHOTO HALI IMETAJWA KUWA TETE.. hali hiyo...
  12. N

    From Mtwara Port: Mapokezi Shehena ya Kwanza ya Mabomba ya Gesi Bandari ya Mtwara!

    kiukweli serikali yetu ni kaidi sana na haipo kwa maslahi ya wananchi.. kwa wanamtwarar hii ni changamoto kwetu kuona ni jinsi gani serikali tuyloichagua kwa miaka 52 inavyotudharau.. nitoe wito kwa wanamtwara kumpokea kwa kishindi kikuu mh. LEMA km unavyotuomba akija
  13. N

    Sakata la uchimbaji wa Bauxite changamoto mpya Lushoto

    Kama ilivyo ada kwa serikali ya CCM kufumbia macho maslahi ya umma na kuwabeba wawekezaji huku raia wakiachwa na athari za uchimbaji madini Tanzania, UCHIMBAJI UNAOTARAJIWA KUANZA HIVI KARIBUNI WA MADINI YA BAUXITE KIJIJI CHA MAGAMBA WILAYA YA LUSHOTO HALI IMETAJWA KUWA TETE. Hali hiyo...
  14. N

    Hali sio nzuri kabisa chuo kikuu sekomu

    kaka umepost tofauti na uwezo wa wasomaji kukuelewa
Back
Top Bottom