Msaada: Nataka kusoma Bachelor of Arts with Special Education

Rabiel

Senior Member
Jul 20, 2013
197
40
Anayejua chuo kingne tofauti na SEKOMU kinachotoa kozi hiyo ni chuo gani na je ugumu au urahisi ukoje?

Nipo interested kupiga hyo degree nikawasaidie ndugu zangu walemavu
msaada please kwa wanachuo
 
I think hapa udom watakuwa wanatoa hiyo program, kila koz utaikuta hapa, hakuna kitu kigumu wala kirahisi cha muhimu ni bidii ktk kusoma.
 
Kwanza nakupongeza kwa kutaka kusoma hyo course ,mm nimiongoni mwa watu waliosoma hyo.
Vyuo vinaotoa tofauti na SEKOMU in Saut -Tabora na Udom.
Lkn SEKOMu ndo wako vizri ukitoka pale umieva.
Karibu kwa maswali zaidi.
 
ok asante na je hyo koz ina ugumu gani hasa koz siunajua lugha wanayoitumia wenzetu na sisi n tofaut kidogo
 
Ugumu unatofautiana kulingana na specialist utakayoamua kusoma MF. Hearing impairment utapaswa uweze kujua lugha ya alama (sign Language),visual impairment utapaswa uweze kutumia nukuta nundu na cognitive disability ndo inaonekana kuwa rais kidgo maana hiyo unadiri na wanafunzi wenye utindio wa ubongo.
 
thanks sana maelezo yako yanajitosheleza
but inachukua miaka mingapi
 
Anayejua chuo kingne tofauti na SEKOMU kinachotoa kozi hiyo ni chuo gani na je ugumu au urahisi ukoje?

Nipo interested kupiga hyo degree nikawasaidie ndugu zangu walemavu
msaada please kwa wanachuo
Anayejua chuo kingne tofauti na SEKOMU kinachotoa kozi hiyo ni chuo gani na je ugumu au urahisi ukoje?

Nipo interested kupiga hyo degree nikawasaidie ndugu zangu walemavu
msaada please kwa wanachuo
 
udom wanatoa inclusive education..
specialization haipo..
wapo general..

saut tabora wanatoa special ed. ila sijajua ubora wao..

Sekomu wamejiimarisha zaid hasa kwa speciality mbili (hearing imparement na visual) hasa practically..
watu Wa HI kwa Mfano; audiology wapo vizuri sana pale practical in a way kwamba; hata hospitali Unafanya kazi.
wengi nawafaham wana clinic zao za audiology..
Ukiwa interested nipin..

cognitive disability na speech practically hawapo njema sana Sekomu..
nadhani sababu ni nature ya speciality zenyewe na wahadhiri waliopo..

kuhusu ugumu au urahisi; simply; hakuna Kitu kigumu au Rahisi kwenye usomaji; ni vile unavyojipanga..

Sekomu wana tatizo la gharama kubwa na administration mbovu..

kwa hoja yako ya mwisho;; ya kutaka kuwasaidia walemavu; I salute you..
ila mind you that:; msaada wako utautoa nje ya Ajira za serikali..
maana ukigraduate pale unapelekwa shule za Kawaida..
Nina ushahidi nalo..
serikali inaajiri diploma and certificate direct kwenda special school and school unit..

graduates wanapelekwa sekindari za Kawaida..
miaka miwili nyuma; ulikuwa unaenda inclusive Sek schools km Benjamin; old Moshi; Mtwara tech; tanga tech; ilboru etc..

ila mwaka Jana wameoelekwa shule za Kata wote .

nawasilisha
 
nawasilisha[/QUOTasante umenijibu hoja baada ya baada ya hoja,nadhan azma haitatimia kwa shule za serikal ambazo n special kwa walemavu,...naona hakuna umuhimh tena ili hali ntatumia nguvu kubwa lakin ntaenda kuwasaidia wengne wasiohitaji msaada wangu
nashukuru sana kwa sababu umekua mkweli kwangu ila ntaku PM ili npate more information toka kwako ili niwe na msimamo mmoja juu ya azma yangu.
 
udom wanatoa inclusive education..
specialization haipo..
wapo general..

saut tabora wanatoa special ed. ila sijajua ubora wao..

Sekomu wamejiimarisha zaid hasa kwa speciality mbili (hearing imparement na visual) hasa practically.
watu Wa HI kwa Mfano; audiology wapo vizuri sana pale practical in a way kwamba; hata hospitali Unafanya kazi.
wengi nawafaham wana clinic zao za audiology..
Ukiwa interested nipin..

cognitive disability na speech practically hawapo njema sana Sekomu..
nadhani sababu ni nature ya speciality zenyewe na wahadhiri waliopo..

kuhusu ugumu au urahisi; simply; hakuna Kitu kigumu au Rahisi kwenye usomaji; ni vile unavyojipanga..

Sekomu wana tatizo la gharama kubwa na administration mbovu..

kwa hoja yako ya mwisho;; ya kutaka kuwasaidia walemavu; I salute you..
ila mind you that:; msaada wako utautoa nje ya Ajira za serikali..
maana ukigraduate pale unapelekwa shule za Kawaida..
Nina ushahidi nalo..
serikali inaajiri diploma and certificate direct kwenda special school and school unit..

graduates wanapelekwa sekindari za Kawaida..
miaka miwili nyuma; ulikuwa unaenda inclusive Sek schools km Benjamin; old Moshi; Mtwara tech; tanga tech; ilboru etc..

ila mwaka Jana wameoelekwa shule za Kata wote .

nawasilisha
nina E flat HKL je naweza kuisoma hiyo kaka hata diploma naomba ushauri nimeipenda sana
 
Back
Top Bottom