Kweli ndugu, sheria sio lugha, kwamafano sheria inayokataza matokeo ya urais kupingwa mahakamani hata iandikwe Kilatini, Kireno, Kipare, Kisukuma nk, bado itabaki kuwa kama ilivyo.
Mimi naona tatizo letu la msingi sio lugha bali ni namna tunavyofikiri na tunavyo Fanya.
Ubora wa hukumu haujalishi lugha, hataikiandikwa kwa kabila la jaji inategemea tu kaandika nini.
Be informed kwamba dawa za serikali zina chapa ya GOT, Tena sio kwenye makasha tu bali mpaka kidonge chenyewe waweza kuta neno GOT.
Najua wawezapenda waziri anavyopambana, pia Mimi napenda wapambanaji ila tupambane kwa kuzingatia ukweli na tija.
Kama wezi wapo wakamatwe, washtakiwe tusonge...
Zunguka famasi zote mjini kanunue dawa kama utapata ya GOT, hakuna mfanyabiashara mjinga anaweza uza dawa za GOT. Na ndio maana husikii serikali ikisema imekamata dawa zake zikiuzwa sehemu fulani.
Na kama unafuatilia kwa makini utagundua hizi kelele za wizi wa dawa hakuna mtu anakamatwa na...
Changamoto ktk sekta ya afya na elimu nchini haziwezi kutatuliwa kisiasa. Lazima zitatuliwe kitaalamu na kiweledi wa hali ya juu.
Ila wanasiasa wameshajua wananchi wanataka amsha amsha na wanawapa mnachotaka na wao wanapiga kivyao na hutawaona wanatibiwa serikalini au watoto wao wakisoma serikalini
Huwezi iba dawa za GOT kibiashara. Ukiona mtumishi kaiba ujue kaiba dozi moja au mbili akatumie au ampe mshkaji wake.
Je, unakumbuka mwezi mmoja uliopita mh waziri alikuwa anagombana na msd kwakuwa hawapeleki dawa hospitalini.
Je, unajua wajawazito, watoto na wazee ndio kundi kubwa la wagonjwa...
Acha kutumia akili na kufanya kazi kwa bidii ubaki kuita kila mtu wa Lumumba. Kama unadhani ukiwa Lumumba unafanikiwa sasa si na wewe uende Lumumba na uwapeleke wengine mfanikiwe.
Wewe ni mjinga, unajua Lumumba kuna mafanikio halafu huendi unalia tu. We we lia sisi tunachapa kazi na nashukuru...
Mtizamo wako naona unakasoro. Natoa mifano miwili halafu na fafanua.
Niliajriwa na serikali 2012, kutokana na uhaba was wataalamu, iliamuliwa niende kusoma masters,nilihitimu 2015 mwishoni nikarudi kazini na Mzee Magufuli nikiwa sina rasilimali yoyote isipokuwa elimu.
Toka 2016 kwakutumia...
Ndicho kinachoharibu soka la bongo. Kuna watu hawana kazi yoyote ile zaidi ya unyonyaji wa hizi timu.
Unajiuliza hivi kama namungo kaweza vipi hizi za kariakoo tangu mwaka 35 na 36.
Na hapa ndio unaona viongozi wasio na akili. Kwanza jumamosi ni Sabato takatifu kwa tunao amini hivyo.
Pili hivi mtu anashamba, jumamosi saa kumi na mbili asubuhi kawahi shambani kwake kwa kupamis siku za kazi. Hii si zaidi ya zoezi?
Wao wanafikiri watumishi wote tumebweteka kama wao. Nina...
Sasa kama mgonjwa na dr walikubaliana kutibiana gest,serikali inahusikaje. Mbona wagonjwa wengi tu wanatibiwa popote pale alimradi tabibu na mteja wakubaliane.
He Dr alikuwa anatibu kama Dr au ndugu,rafiki etc.
Usijekuta walikuwa wanavunja amri fulani hivi huko gest wakashindwa kukubaliana.
Kiukweli tangu 1977, tulitengeneza mungu tukamuita rais. Huyu mungu hakosei, hakosolewi, huamua anachotaka kwautashi wake na wanaomzunguka, anadhibiti maisha ya kila mmoja wetu. Huyu majeshi yote yako chini yake na yanaapa kumtii, mahakama zote ziko chini yake, pia yeye ni mbunge na ana wabunge...
Uzi mzuri sana. Kiukweli msingi wa tuyaonayo kwenye nchi hii ni 1977. Kwanini chama kipya kilichoundwa kiliitwa Chama Cha Mapinduzi? Ni mapinduzi yapi? Au chama hiki ndicho kilichofanya mapinduzi ya Zanzibar?
Huwezi kuibadilisha hii nchi bila kufumbua fumbo la 1977.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.