TUME ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na Jaji Joseph Warioba imetoa mwongozo kuhusu uundwaji wa mabaraza ya katiba ya ngazi ya serikali za mitaa, ambayo jukumu lake kubwa ni kufanya mapitio na kutoa maoni kuhusu muswada wa katiba mpya utakaoandaliwa na tume hiyo.
Kwa mujibu wa mwongozo huo...
Siku moderator wakiishiwa uvumilivu hali ya hewa itachafuka..Mungu tusaidie..Hakuna namna naweza kukwepa kuilaumu serikali ambayo imefumbia macho kukashifiana kwa wazi tena hadharani, halafu eti utasikia viongozi wa dini wakae..wazungumze nini? Serikali ifanye kazi yake haya yatakwisha.
Hayo yasemwayo kuhusu SUK kuidindia JMT kama ni kweli basi tafsiri ni kuwa SUK wanawajua wanaofanya uhalifu ZNZ na Wao wanawasapoti..
Ila sidhani kama wana msuli wa kuizuia JMT katika hilo as mi nimeambiwa FBI wako ZNZ tangia juzi. Hao Sortland guard ndio usipime ni nouma..
Tusubiri movie...
Hapa sasa naona umeamua kukata mzizi wa fitina na kuanza kuelimisha umma..shida kubwa ni kwamba watu wengi huwa tunavamia hoja kwa ushabiki bila kujua ukweli wenyewe. Mfano kuulizwa na mtu aliyeko nje ya nchi na ambaye ana kawaida ya kuja ZNZ kila mwaka, kwamba nimesikia hali si shwari hapo ZNZ...
Hapa sasa naona umeamua kukata mzizi wa fitina..shida kubwa ni kwamba watu wengi huwa tunavamia hoja kwa ushabiki bila kujua ukweli wenyewe. Mfano kuulizwa na mtu aliyeko nje ya nchi na ambaye ana kawaida ya kuja ZNZ kila mwaka, kwamba nimesikia hali si shwari hapo ZNZ sio kosa. Mimi mwenyewe...
"Rafiki yangu na familia yake wanataka waje Zanzibar mwezi March..kaniuliza hivi," I had heard that you killing each other, is that true? Tell me my friend if is safe to come or to cancel the tour, I know you miss us but We will meet even if We do not come..."
Nimeshikwa na...
Ni janga la kitaifa...na dalili ya kifo cha Taifa...
Haya ndiyo maneno niliyomjibu binamu yangu miaka mitano (5) iliyopita alipokuwa akinipa matokeo ya mtihani wa Taifa Kidato cha nne Tanzania kwa njia ya simu nikiwa nipo safarini. Kipindi hicho ni takribani asilimia 26 ya Watahiniwa walifeli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.