Recent content by NAFTAL DANIEL

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ,,,,,,, kampeni zikiwa zinaendelea ,swali gumu kwa wagombea urais nchini kenya

    Kampeni za Uchaguzi nchini KENYA zimepamba moto moja ya maswali muhimu na magumu yanayomwandama Mmoja ya ,Wagombea URAIS Mh,UHURU KENYATA ( Ambaye ni mtoto wa Rais wa zamani wa kenya Mh, JOMMO KENYATA) ni kwamba awaambie wa Kenya "UHURU - (Minus) jina la baba yake ni nani? ndani ya Kenya? na...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anaivuruga CHADEMA, naomba achunguzwe

    hahahaahhahah!!!!! Ungemsifia labda ndo tungemchunguza
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

    Hawa watu wanalindwa na serikali huwezi kuongea maneno kama hayo alafu ukabakia huru kwenye nchi yenye utawala wa sheria
  4. N

    JamiiForums Tanzania Hawa ni wahuni ndani ya CHADEMA - Na Evarist Chahali

    CHADEMA DHIBITI WAHUNI HAWA-BY EVARIST CHAHALI,USKOCHI NIANZE makala haya kwa salamu za Heri ya Krismasi (ambayo ilikuwa jana) na Mwaka Mpya tunaotarajia kuuona Jumanne ijayo. Pia ningependa kutoa shukrani zangu za dhati kwenu wasomaji wa safu hii (na nyinginezo katika jarida hili...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hawa ni wahuni ndani ya CHADEMA - Na Evarist Chahali

    "" Wahuni" naam;hilo ndo jina sahihi ambalo mimi ninalichagua kwa baadhi ya vijana wasio na nidhamu kwa Chadema na baadhi ya viongozi wake wanaoongoza harakati za kukikongoroa chama hicho kwa kigezo cha kudai demokrasia, wanapaswa kukumbuka kuwa Mwangosi alikufa kwa kuuawa kinyama na...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Lema: Sikuogopa nilipoona mwanajeshi anapiga picha na mimi

    lema is back!!!!!!!!!!!!!!!!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

    mambo ya viapo hayo! Endeleeni kutumikia, but nawashauri muanze kutoa hizi tuhuma majukwaani ili kuzifikisha kwa watu wengi zaid,nendeni kibaha,mbozi,hata kigoma mkiwa mmevaa kombat then mkirud msisahau kutupa mrejesho.
  8. N

    JamiiForums Tanzania John Heche akiri CHADEMA imeandaa mkakati wa kumpeleka Dr. Slaa ikulu 2015... Shame!!!

    "... Lengo hapa lilikua kumtenganisha mwenyekiti na Katibu mkuu ili kundi liweze kuimarika na kupenya kati kati.Hapa ndipo kazi ambayo ilikua imekwisha anza mwezi wa 4 katika kampeni za Arumeru Mashariki ya kumchafua Mbowe na Katibu mkuu kwa kutumia ID ya TUNTEMEKE iliposhamiri..Akina...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hakuna atakayefanya kazi za CCM akajiita mwana CHADEMA tukamwacha

    better few but better!------- v.i lenin
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    hawa clouds nionachowaonea huruma ni kwamba wanapambana na nguvu kubwa ya umma kwani kipindi cha kampeni 2010 walimtukana sana joseph mbilinyi"sugu" na kuapa hata shinda ndo kwanza akashinda kwa kisjhindo kikubwa sana ! Kwa kura mara mbili ya ailizopata mbunge wa ccm. The same to john mnyika...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ya Lema yameisha; Mh. Mbowe litizameni jimbo la Sumbawanga

    comrad umenena!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Sumu ya Saanene - swali kwa MASALIA a.k.a PM-7

    lakini yeye ben hakula kiapo
  13. N

    JamiiForums Tanzania Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    mambo ya viapo hayo ,kumbe tunapambana na watu waliokula viapo kwa waganga, asante mungu kwa kutufungua hatubishani nanyie tenaaaa! Coz sie hatukula viapo.
  14. N

    JamiiForums Tanzania NAPE ajibu hoja ya Kudhoofishwa kwa Dr. Slaa...

    nepi hajielewi,ndo mana siku hizi anapewa posho na bashe.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA: Maazimio na picha za matukio

    god bless chadema!!
Back
Top Bottom