Recent content by nacy

  1. N

    JamiiForums Tanzania Maneno 10 mabaya ambayo hutakiwi kusema kwa mwenza wako

    Asante
  2. N

    JamiiForums Tanzania CCM wenzangu: Ni kitu gani kinachotushinda kufanya siasa za kisayansi na za kisasa zaidi? Mbona tunafanya siasa za ki polisi polisi zaidi?

    CCM ni majizi wanajua kabsa wakiruhusu siasa za wazi mambo yao mengi ya hovyo yatakuwa yanaanikwa wa upinzani kila siku.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Miradi mingi ya awamu ya tano iko kisiasa zaidi na sidhani kama ushauri wa kitaalamu unazingatiwa katika kuamua aina ya miradi ya kutekeleza

    fanya kazi ukuze uchumi wako na taifa lako acheni blaa blaa.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Joyce Kiria baada ya kushauriwa amwambie mumewe aachane na siasa

    hapo ndipo unatakiwa kujua usimwamini mwanamke kwa maneno pale anapohisi una future nzuri yani mambo yakikwendea mrama ndo unajua ulipata mke bora au malaya tu anaejalikujali ukiwa na pesa, unafiki wa wanawake wa leo ni shida. ovyo kabsa
  5. N

    JamiiForums Tanzania Catherine Ruge atema Cheche Bungeni tangu achaguliwe

    Asante mbunge kwa hoja nzuri
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ni ubabe au? Bodi ya Mikopo wanakata mpaka 500,000/ kwa mwezi, watumishi ni kilio

    ha ha ha ha ha masikin siku zote huwa anaomba tajiri awe masikini.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tangia mke wangu asifiri jogoo hawiki kabisa

    pole sana ila hii kali ya mwaka
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tangia mke wangu asifiri jogoo hawiki kabisa

    pole sana ila hii kali ya mwaka
  9. N

    JamiiForums Tanzania Uvamizi wa Gambia, umezidi kuipunguzia Afrika heshima nje ya Afrika!

    mtoa mada uelewa wako nahisi ni mdgo kuhusu masuala ya kidiplomasia. mbona hutetei kura za wananchi, Ecowas haiendi kuvamia kwa lengo baya bali inaenda kumtoa ikulu m2 aliekataliwa na wananchi wake kupitia box la kura.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kama amenichoka aniambie niende kwetu

    yan wewe miss natafuta nilkuwa nafikiri unajielewa kumbe fala tena usie na huruma hata kidgo. mwanamke mwenzako analetewa wanawake mpk kwenye kitanda chake we unamuona mjinga. Ni mwanamke gani humu asiependa kupendwa kwenye ndoa hata kutambulishwa tu kwa marafiki au kutoka out pamoja na mme wake...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kutopenda kuvaa chupi

    hakika wadada wa cku iz aibu hawana. yan unakitembeza wazi wazi af unakuja kujitangaza.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Je, Umewahi kudanganywa na mpenzi wako kama alivyonidanganya hapa?

    ni ngum kuamin but nilidanganywa ivo na mtoto wa kike ambao sitokuja kusahau ilimladi tu apige mzinga wa kutosha nilituma nauli ya wa2 wawili na ya rafiki ake ambae aliniambia atamsindikiza kutoka mwanza kwenda tanga. kiroho safi nilimpotzea badae alirudi na please mingi mingi.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Je, Umewahi kudanganywa na mpenzi wako kama alivyonidanganya hapa?

    mi nilijuana na dem mmoja kwao ni mwanza baada ya kuendelea nae kwnye mahusiano siku moja alinidanganya mama ake amefariki akaniomba nimtumie pesa kwmba watasafirisha kwenda kuzika Tanga nikamtumia nauli na hela zingne. yan nilikuja kuambiwa na rfk ake wa karbu yupo mwnz anakula life hajafiwa...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimechoka na hii hali ya kuachwa na wanaume

    kuna wa2 hum huwa wanajiona miungu wa2 humu jf, cjui wanajifanya wao huwa hawakosei, binti wa watu anashida majitu mengne yanatafuta uandishi bora. pum.bavu kabsa Nyani n.k
  15. N

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anaepetipeti VS Mwanaume mtundu kitandani

    wanawake hawatabiriki kabsa waweza kupiga shoo za kibabe shoo za hatari a.k.a shoo za mwendokasi lkn km hautoi mpunga wa kutosha bob utapigiwa tu.
Back
Top Bottom