Yaani mimi nihangaike kutafuta pesa, nikupe tena unaniringishia! Kaa nacho tu kwakweli siku ukinipa nitakupa! Hakuna kuhonga siku hizi! Kazi kwa malipo nipe nikupe
Huo ndio uanaume. Hapo alikua anakuchunguza aone kama una hadhi yakua naye. Lakini kwa hali iliyojitokeza hakika mwanaume huyo alikudharau sana. Yaani hadhi yako ipo chini Sana.
Hivyo ndivyo wanaume wengi tulivyo. Hatupapariki na wanawake tusiowajua mwisho wa siku tulale sero au tukwae magonjwa
Pole kwa yaliyokukuta, kupoteza kazi ni sehemu ya maisha! Ushauri: Epuka kunywa pombe kupita kiasi kwa kigezo cha kupoteza mawazo.
Hongera kwa hatua uliyofikia! Nyumba haijengwi kwa siku moja, hata miaka kumi utamalizia tu! Sehemu uliyofikia ni nzuri! Usidhubutu kuuza nyumba uliyohangaika...
Mamlaka zimetega masikio kusikia rais atasema nini ili zikurupuke kutekeleza! Kwani walikua wapi kutatua hizi changamoto hadi mzigo umeisha store ndio wanahaha!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.