Recent content by Naca

  1. N

    JamiiForums Tanzania Vigimbi husababishwa na nini?

    Sehemu gani?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Vigimbi husababishwa na nini?

    Jamani hv kweli kabisa hakuna means ya kuvitoa? Au hata basi kuvipunguza?? Am feeling weak inside me.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Vigimbi husababishwa na nini?

    Ha ha haaa,ndio ila mi sifanyagi mazoezi kabisa nashangaa nna vigimbi.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Vigimbi husababishwa na nini?

    Habari, napenda kufahamiashwa vigimbi chanzo chake ni nini? Ni jinsi gani mtu anaweza kufanya kuviondoa? Msaada tafadhali maana vinaninyima raha nashindwa kuvaa nguo ya kata mikono. Je kuna dawa naweza kutumia. Asante.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Vigimbi husababishwa na nini?

    Habari, napenda kufahamiashwa vigimbi chanzo chake ni nini? Ni jinsi gani mtu anaweza kufanya kuviondoa? Msaada tafadhali maana vinaninyima raha nashindwa kuvaa nguo ya katamikono. Je kuna dawa naweza kutumia. Asante.
  6. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Dada Ennie wa JF apoteza mmewe mpendwa!

    Pole sana dada,jipe moyo mkuu Mungu ni muweza wa yote.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Am sorry baby , I didn’t mean to be dat way,

    mi nilivyo kitumbo msosi ningeenda zangu kula muda ule ule ili hata ikitokea huyo bf haonekani isinicost kiivo,maana sipendi kununa.
  8. N

    JamiiForums Tanzania ''hivi huyu uliyenaye unadhani ndiye ulistahili kuwa naye''??.....

    Bado kwangu ni kitendawili,na wa kukitegua simjui.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nalivua pendo...

    settle ur mind,am facing the same situation. Ila duuu inaumiza acha tu,i believe everything wil be ok one day,
  10. N

    JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa au ndo kumwogopa Mungu?

    Tatizo haiko wazi kwamba walipanga kuonana ili nini kifanyike then huyo dada hakusema anataka nini toka kwa kaka. Mimi sioni kama kaka ana tatizo lolote coz walipanga kuonana na walionana na hilo ndo lilikuwa lengo.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hii iliniuma sana. Nisaidieni

    Jamani next time akihitaji hiyo kitu mpeleke kwa Physiotherapist,then uangalie anachofanyiwa ili nawe uweze kutoa huduma siku nyingine.
Back
Top Bottom