Am sorry baby , I didn’t mean to be dat way,

Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Messages
2,697
Points
1,195
Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2012
2,697 1,195
Cjui nimlaum boss wa shem wangu kwa kutopanga ratiba ya kazi,cjui nimlaumu shost wangu kwa kushindwa kureason au nimlaum shem wangu kwa kushindwa tekeleza timetable na kukubali boss amuendeshe,
Habari zenu wanajamvi,
Nna shost yangu mrembo kwelikweli nafanya nae ofisi moja, hua tuna kawaida ya kwenda kula pamoja luch time sasa jana asubuhi shost kaja na bashasha ananiambia ‘nikuambie mapema leo lunch utafute kampan nyingine kabisa ,mie leo natolewa na my hubby wangu’ nikwambia haya mama kila la heri msalimie shem,
Ilipofika saa tano bf akamtumia sms mpenzi unakumbuka ahadi yetu, yaani naona saa hata haziendi, me nasomewa sms, tu nikamwambia ma frend mbona mmepania hivyo,basi ilipofika saa sita ikaingia sms nyingine toka kwa shem , mpenzi boss kaniletea kimeo hapa cjui hata ntachomokaje , c unajua tena funga mwaka, ma frend akamwambia so niende lunch mwenyewe shem akagoma ,no mpenzi nisubiri siwezi kula mwenyewe leo ntamuaga tu boss,
Ilipofika saa saba shost akauliza vpi sasa , akajibiwa subiri mpenzi dakika sifuri tunaenda, me nikamwambia shost me natangulia lunch, niliporudi kwenye saa nane namkuta bado anachapa kazi nkamwambia shost mbona mmeenda na kurudi fasta akaniamb ia bado nasubiri bosi kabana,
Me nikaendeleza ujenzi wa taifa huku anaendelea pokea sms za kua mvumilivu toka kwa shem,
Ilipofika saa tisa akanionyesha sms huku uso umevimba,SORRY BABY I CANT MELK IT BOSS KAKOMAA KAAAGIZA MSOSI NOW TUNAKULA OFISINI , WE SHUD HAVE DINNER INSTEAD.
Basi shost alinuna kazi haziendi na lunch kasusa , jioni akatoka saa kumi huku shem bado kakomaa na boss akamwambia ye akajiandae akitoka straight atampitia home, basi ilipofika saa tatu ucku shost ananipigia simu anasema shem kazima simu hapatikani,alipatikana saa tano ucku,leo kaja shost is not in mud ananiambia amechoka hana hata hamu ya kumsikia wala kumuona bf eti amempa likizo hadi hasira zitakapoisha,anasaema kila siku nakula mwenyewe kilichomtuma kupanga appointment na kunikalisha na njaa lunch hadi dina ni nini kwani nimemlazimisha.
Je mnahisi shost ana haki ya kununa, au shem ana kosa lolote katika hili, je ikikutokea wewe utafanya nini,
 
Kaunga

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Messages
12,580
Points
2,000
Kaunga

Kaunga

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2010
12,580 2,000
Sounds like someone l know. LOL
Aisee ana haki zote za kununa, wasiokeep promise huwa wanachefua sana.

Namfundisha mwanangu asiahidi kitu ambacho hawezi timiza.
 
Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Messages
2,697
Points
1,195
Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2012
2,697 1,195
sasa kaunga kwani bf ana kosa jameni c bosi, hata me ningenuna ila baadae ningemsamehe kimbelembele chake cha kuahidi
 
N

Naca

Member
Joined
Oct 8, 2012
Messages
13
Points
20
N

Naca

Member
Joined Oct 8, 2012
13 20
mi nilivyo kitumbo msosi ningeenda zangu kula muda ule ule ili hata ikitokea huyo bf haonekani isinicost kiivo,maana sipendi kununa.
 
Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Messages
2,697
Points
1,195
Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2012
2,697 1,195
mi nilivyo kitumbo msosi ningeenda zangu kula muda ule ule ili hata ikitokea huyo bf haonekani isinicost kiivo,maana sipendi kununa.
we naca hujui raha ya kusubiria mtoko wewe, chakula hakipitagi
 
Kaunga

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Messages
12,580
Points
2,000
Kaunga

Kaunga

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2010
12,580 2,000
sasa kaunga kwani bf ana kosa jameni c bosi, hata me ningenuna ila baadae ningemsamehe kimbelembele chake cha kuahidi
Alipaswa kujua utight wa kazi yake, keeping someone up is not fair.
Kama ni mara moja waweza lkn ikishakuwa mazoea then lazima achukue hatua.
 
Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Messages
2,697
Points
1,195
Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2012
2,697 1,195
Alipaswa kujua utight wa kazi yake, keeping someone up is not fair.
Kama ni mara moja waweza lkn ikishakuwa mazoea then lazima achukue hatua.
kweli bana i can imagine mtu unakaaje attention kusubiria kwenye hamna lol
 
smallvile

smallvile

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2012
Messages
495
Points
250
smallvile

smallvile

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2012
495 250
jama yanatokea haya, ni sawa na gari kuharibika njiani ukashindwa kumake up
sasa nakushauri sawa una hasira, hebu tulia n think is he always that way au ni kweli kwamba
bosi alikua mnoko dat day,,, yaani kakosa kamoja tena kamesababishwa na mtu ndo kasikufanye
ukosane na mtarajiwa wako ebu jiulize ni mema mangapi mmecamplish pamoja,, au hakuna ?
sasa those good memoriez ndo zitumie,, ila kama he always dat way,, take a pace
 
Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Messages
2,697
Points
1,195
Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2012
2,697 1,195
jama yanatokea haya, ni sawa na gari kuharibika njiani ukashindwa kumake up
sasa nakushauri sawa una hasira, hebu tulia n think is he always that way au ni kweli kwamba
bosi alikua mnoko dat day,,, yaani kakosa kamoja tena kamesababishwa na mtu ndo kasikufanye
ukosane na mtarajiwa wako ebu jiulize ni mema mangapi mmecamplish pamoja,, au hakuna ?
sasa those good memoriez ndo zitumie,, ila kama he always dat way,, take a pace

hahaha naona umesahau baya moja linaweza futa mema kumi
 
smallvile

smallvile

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2012
Messages
495
Points
250
smallvile

smallvile

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2012
495 250
hahaha naona umesahau baya moja linaweza futa mema kumi
ndugu tukifanya hivi,,, maswala mazima ya mapenzi na mahusiano yatakua kituo cha polisi,,,
yaani nikikosa moja tu huangalii jema,,, aaaah ina maana wewe hujawahi tenda baya kwa umpendae tena likawa si la kudhamiria, unajiskiaje pale mwenzi haelewi kwamba hukudhamiria,, do ya knw the pain
 
Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Messages
2,697
Points
1,195
Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2012
2,697 1,195
ndugu tukifanya hivi,,, maswala mazima ya mapenzi na mahusiano yatakua kituo cha polisi,,,
yaani nikikosa moja tu huangalii jema,,, aaaah ina maana wewe hujawahi tenda baya kwa umpendae tena likawa si la kudhamiria, unajiskiaje pale mwenzi haelewi kwamba hukudhamiria,, do ya knw the pain
cjasema sisamehi ila cha moto atakiona
 
Forum statistics

Threads 1,285,566
Members 494,675
Posts 30,866,915
Top