''hivi huyu uliyenaye unadhani ndiye ulistahili kuwa naye''??.....

labda niulize kitu hivi...
tumeoana kwa kuwa wakati umefika?
tumeoana kwa kuwa wengine wanasema tuoaane
tumeoana kwa kuwa ilikuwa sahhihi kuoana na tulijisikia hivo
tumeoana kwa kuwa tunakimbia mashinikizo ya kijamii(umri,uchumi,ego tu)\
tumeoaana kukamilishana?
tumeoana kulipa kisasi na kuumizza wenzi walio tuumiza?
au tumeoana ili tutimize mahitaji ya kibaiolojia (watoto,nenge tu)
tukijiuliza haya maswali ndo tunweza kufikia kwa urahisi kweli hitimisho la kuwa ar we with a right person?
 
Sio lazima uwe na 'so many candidates in place' ili uweze kuregret nyumba kubwa
Kinachopelekea watu ku'regret' ni pale wanapoona 'output' hazimatch na 'expected results'...........
pacha unaweza kuxpect vipi kitu usichokijua?
pengine ni sahihi nyumba kubwa anavosema hawezi kuregret since huyo mwingine wa kuregret for hayupo!
if so is the case then a person wud jus reach to the point kuwa they were not meant to be !but kama ulikuwa nao 3 wote wakitaka kuoa au kuolewa nawe then ni kweli utasema bora tu ningekubali kuolewa au ningemuoa fulani hyaa yasingenikuta!
 
Last edited by a moderator:
Swali gumu lkn pia laweza kuwa jepesi. hapa hakuna kugeneralise ila labda zingepigwa kura tungepata percent fulani ndio na percent fulani hapana. na ukitaka kujua ni sahihi au si sahii jiulize ungepewa second chance ungemchagua au usingemchagu? majibu kamwe hayataweza kufanana. Binafsi niliyenaye ni ndiye haswa niliyestahili kuwa naye. lkn hiyo haimaanishi nismkague cm yake? au ndio nilisiwe na wasiwasi naye kabisa, hilo ni swala jingine.
 
Maswali muhimu sana haya pacha...uzuri mmoja nadhani haiwezi kuwa sababu moja...rather tunaweza sema ni 'chemistry' inayojengeka between the two....ambamo tunaangalia vigezo kadha wa kadha...

labda niulize kitu hivi...
tumeoana kwa kuwa wakati umefika?
tumeoana kwa kuwa wengine wanasema tuoaane
tumeoana kwa kuwa ilikuwa sahhihi kuoana na tulijisikia hivo
tumeoana kwa kuwa tunakimbia mashinikizo ya kijamii(umri,uchumi,ego tu)\
tumeoaana kukamilishana?
tumeoana kulipa kisasi na kuumizza wenzi walio tuumiza?
au tumeoana ili tutimize mahitaji ya kibaiolojia (watoto,nenge tu)
tukijiuliza haya maswali ndo tunweza kufikia kwa urahisi kweli hitimisho la kuwa ar we with a right person?
 
Swali gumu lkn pia laweza kuwa jepesi. hapa hakuna kugeneralise ila labda zingepigwa kura tungepata percent fulani ndio na percent fulani hapana. na ukitaka kujua ni sahihi au si sahii jiulize ungepewa second chance ungemchagua au usingemchagu? majibu kamwe hayataweza kufanana. Binafsi niliyenaye ni ndiye haswa niliyestahili kuwa naye. lkn hiyo haimaanishi nismkague cm yake? au ndio nilisiwe na wasiwasi naye kabisa, hilo ni swala jingine.
ah simu yake ya nini banaa!we unao moyo wake my dear haya ya simu ni yake yeye!unafikir usipokuta chochote kweny simu ndo manake hakikuwepo?
mwanadamu ni kiumbe mtata sana i see!sana !
kimsingi ni kujijibia wewe!
 
Ni ngumu m2 kudhibitisha kuwa aliyenaye ndiye haswa 'kipande chake cha ubavu' ila unaweza kugundua aliyelazishia kipande cha mwenzake kuwa chake wao kila cku mahusiano yapo ICU na kuna kitu kinawaunganisha zaidi ya suala ya msingi la wao kuwa pamoja.
Ndoa/mahusiano ya zamani yalijengwa baina ya wa2 wanaofahamiana vizuri na ndo maana m2 alipotaka kuoa/kuolewa aliulizwa anaoa/olewa kwenye ukoo gani na kadhalika lengo lilikuwa ni kuangalia 'ulinganifu' ambao ndo msingi wa ndoa kuwa imara na kudumu. Leo hii wa2 wanakutana kimjini mjini na kumalizana kimjini mjini hakuna cha background wala behind the scene, kesho itajiju lenyewe.

Umesema ukweli, lakini vip kuhusu msemo kuwa ndoa ni ya watu wawili na wataishi wao wawili?

Hao wengine hawana sana ulazima wa kuwadisturb, so la msingi ni wahusika kufahamiana vizuri wenyewe kwa wenyewe.


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wanabodi mambo zenu!
Labda nianze hivi KILA mtu anatamani DUNIA iwe mahali pa salama na watu tufurahie maisha kwa kila nukta ipitayo. Na kama sikosei kila mmoja wetu anatamani MAISHA yake ya MAPENZI/MAHUSIANO yamnyokee yaani pasiwepo na ULAGHAI au UDANGANYIFU...Lakini ukitazama sana kwa trend ya nyuzi nyingi zinazotupiwa hapa MMU inaonyesha dhahiri shahiri MAPENZI hayako salama..na UONGO kama sio UDANGANYIFU umetamalaki sana. Nachelea kutoa LAWAMA kijinsia kwa kusema kundi flani ndio TATIZO....But i guess there is a big problem behind the scene even more than what we could think!!

Tatizo ninaloliona ni kuwa BINADAMU huenda tumetofautiana sana katika nini tunahitaji kwenye MAHUSIANO..Ni kweli pia inawezekana hatujipi MUDA wa KUTAFAKARI kile tunachohitaji au pengine hatupati WATU wanaoendana na MAHITAJI yetu..Na kama tunaamini kuwa kila kila mmoja wetu anastahili kuenjoy MAPENZI ya DHATI sasa kwa nini tunatesana ladies and gentlemen??..Kwa nini UMKWAZE umpendaye??.Swali langu kwa wake kwa waume ni hili: ''HIVI HUYU ULIYENAYE UNADHANI NDIYE U/LI/NASTAHILI KUWA NAYE''?...Kama jibu lako litakuwa YES!..Huyu ndiye HASWAAAAA NILIYEMTAKA...Basi hebu tujiulize hivi vijiswali?

1.Mbona hukomi kuwa unamchunguzachunguza?( of course ni dalili ya kutomuamini)
2.Mbona unahisi kama hazijali hisia zako? (of course ni dalili ya kutojiamini)
3.Mbona humuamini kama zamani? (dalili ya kuchokana)
4.Na Je wanaolalamika hapa MMU ni akina nani kama sio mimi na wewe?

TAFAKARI CHUKUA HATUA...Nimemaliza!!
snow ball.. Nafikiri swali lako zuri. But nachelea kujibu kuwa ndiye kwasababu bado naamini kuwa migongano katika maisha ni kitu cha kawaida.

Ups n down zinatokea popote si katika mahusiano yta mapenzi tu hata ktk kazi, ndugu, n.k.

Na kwa upande wa mtazamo wako wa kwamba watu wajue wanachokihitaji katika mahusiano... Naona application yake ktk real life ni ngumu sanaaaaaa.

Coz ... Ukiacha character za nje let say colour, height, body shape n.k ambazo zinaonekana kwa nje na nahisi matumizi ya hizi ndo rahisi sana.

Kwa zile tabia za ndani tena ambazo ndo zinajenga/kubomoa mahusiano haziandikwi usoni banaaa.. Na hata ukikaa katika mahusiano ktk hatua za awali huwa zinajificha, na huenda nyingine ukazijua ukiwa ktk ndoa.
Na mwisho kabisa tabia hubadilika pia haziko static, so huenda uliye nae alikuwa anakile unachohitaji but amebadilika kutokana na sababu mbalimbali.

NAWASILISHA.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Swali gumu lkn pia laweza kuwa jepesi. hapa hakuna kugeneralise ila labda zingepigwa kura tungepata percent fulani ndio na percent fulani hapana. na ukitaka kujua ni sahihi au si sahii jiulize ungepewa second chance ungemchagua au usingemchagu? majibu kamwe hayataweza kufanana. Binafsi niliyenaye ni ndiye haswa niliyestahili kuwa naye. kn hiyo haimaanishi nismkague cm yake? au ndio nilisiwe na wasiwasi naye kabisa, hilo ni swala jingine.

Duh kumbe tupo wengi lolest!!!!!
 
zote mbwembwe,huo ulouita 'ulaghai' ama 'udanganyifu' unaanza na kujidanganya/kujilaghai kuwa binadam tumeumbwa kuwa monogamous kwenye mahusiano,mhimili wa mapenzi kuwa sexual exclusivity,tuondoe sumu hii vichwani dunia itakuwa ka peponi!
 
Sijasema kuwa 'monogamous' ni kubaya au kuzuri ila nilichosema ni kwa nini hatuheshimu HISIA za wenzetu na VIAPO vya mahusiano yetu?...yes ..inaweza kuwa hujaoa au kuolewa ..then kwa nini umuumize mwenzio??...kama from the day go mmekubaliana kuwa mapenzi yenu yatakuwa 'changanyikeni'...just simple stick to that principle???..ila take it from me that it takes two to tango!!

zote mbwembwe,huo ulouita 'ulaghai' ama 'udanganyifu' unaanza na kujidanganya/kujilaghai kuwa binadam tumeumbwa kuwa monogamous kwenye mahusiano,mhimili wa mapenzi kuwa sexual exclusivity,tuondoe sumu hii vichwani dunia itakuwa ka peponi!
 
Sijasema kuwa 'monogamous' ni kubaya au kuzuri ila nilichosema ni kwa nini hatuheshimu HISIA za wenzetu na VIAPO vya mahusiano yetu?...yes ..inaweza kuwa hujaoa au kuolewa ..then kwa nini umuumize mwenzio??...kama from the day go mmekubaliana kuwa mapenzi yenu yatakuwa 'changanyikeni'...just simple stick to that principle ila take it from me that it takes two to tango!!
sijajua tafsiri yako ya hisia na viapo!,ila nachosema tatizo laanzia kwny 'vigezo na masharti'.na vingi ni vya uongo mtupu,hasa suala la ngono.bdo nipo
 
Back
Top Bottom