Sio hivyo kaka yangu, yaani hata kuongelea mambo yetu na kuweka misingi ya mahusiano yetu nayo inahitaji nini maana muda wa miaka miwili tulikuwa tunajuana ndo maana tukadumu muda wote huo. Cha kushangaa ndo hicho he doesnt care anything about our future
Ni kweli yaani nampenda sana huyu wa Dar yaani hata sielewi kwa nini yeye hashtuki kuwa mi nalala namuota yeye ndo maana napatta nguvu ya kywakataa wengine kwa sababu nampenda sana yeye, Na analijua hilo lakinin hata hashtuki
Naomba msaada wa ushauri hasa wanaume.
Nilianza kuwasiliana boyfriend huyu kwa njia ya simu mwaka 2014 mwanzoni ambapo wote tulikuwa hatujuani tukawa tunapendana sana tumeendelea na mapenzi yetu ya simu hadi kufikia mwaka jana 2015 Decemba ambapo nilifanikiwa kusafiri hadi hapo alipo na...
Mungu akutie nguvu.
Ila cha muhimu ni kuombeana sana kipindi cha ujana kina changamoto nyingi sana. hujui utakuja kuangukia kwenye msalaba gani, ni neema tuya Mungu itutangulie
Ni ukweli lakini mimi kwa sasa niko katika hatua ya kurudiana na mpenzi wangu wa zamani miaka saba iliyopita ambapotulikuwa wapenzi lakini hatukuwahi kushirikiana kimapenzi.
Baada ya kuachana mimi nilipata mtu mwingine na kuzaa nae, kumbe jamaa alikuwa bado ananipenda alivyoona tutumeachana...
Huo ni ukweli usipingika kwamba unakuwa umejikata hivyo kuacha nafasi wazi kwa ajili ya mabukizi.
Ila faida ya kunyoa ni unakuwa comfortable kkuperform kuliko ukiwa na msitu unaona ona aibu kwa mwenzi mpya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.