Recent content by Naa191

  1. N

    JamiiForums Tanzania Toyota Premio New Nodel inagonga sana, naomba Msaada Tafadhali

    Ndio, nimepata soluhisho. Asante
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mbona kama Dualis zinaanza kushuka?

    Nakubaliana na wewe, upo sahihi kabisa....huyu mdau yawezekana gari yake bado haijaanza kusumbua ila ni suala la muda tu.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Toyota Premio New Nodel inagonga sana, naomba Msaada Tafadhali

    Asante mkuu, ntafanya hivyo.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Toyota Premio New Nodel inagonga sana, naomba Msaada Tafadhali

    Habari za jioni wakuu Nina Toyota premio ya mwaka 2008, hii gari imeanza kugonga chini yaan unavyoendesha hasa kwenye rough road unahisi kama usukani umeachia kwani unaskia manyanga ya kutosha chini. Nimejaribu kubadili engine mounting as zilikuwa zimekata kabisa lakini tatizo likapungua na...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Edward Ngoyai Lowassa

    Mhmm tusubiri
  6. N

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Matumizi ya simu za TECNO yamepungua sana

    Kama hajaelewa kwa maelezo yaliyoshiba plus na evidence na link juu basi kaamua tu kubishana. Asante kwa maezo mazuri, kuna kitu nimejifunza.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mathayo 15 (1- 39) Kiingiacho kinywani hakimtii mtu najisi?

    Umeandika vizuri sana, ila mwisho ndio umeharibu.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mliofanikiwa kutoa Zaka asilimia 10% ya vipato vyenu mmewezaje? Binafsi naishia kusaidia 2% hadi 4%

    Mkuu safi sana kwa maelezo mazuri. Najaribu kutafakari kwanini kwenye agano jipya hakuna mistari inayoeleza suala la zaka? Kama ipo naomba kueleweshwa.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nimepata Chanjo ya Corona nchini Marekani, puuzeni uzushi

    Dawa ya malaria ni tofauti na kinga...hakuna kinga ya malaria....mfano wako ni irrelevant.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Bageni amehukumiwa kunyongwa peke yake kati ya watu 13 alioshitakiwa nao...

    Ndugu zake wanaingiaje hapa....sio busara kutukana ndugu zake ambao hawajui lolote kuhusu hoja hizi.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Sitosahau siku ambayo tulifika Mbeya saa saba mchana. Njia nzima nilitubu dhambi zangu

    Kilo moja ya mawe na kilo moja ya pamba ipi nzito? Hatari sana
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikupenda anaweza kukupatia mtoto asiye wako

    We ni mwenyeji wa Iringa?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ambao si Wachagga huwa wanajisikiaje wakiona Wachagga wakihangaika kwenda makwao Desemba?

    Nice comment.....sidhani kama atarudi kujustfy madai yake.
Back
Top Bottom