Recent content by N811

  1. N

    Hakuna record label ninayoweza kukubali inisainishe, watanipa nini ambacho sijafanya! – Diamond

    kuna uhusiano wa moja kwa moja wa uswahili na utandale yeye ni nani mbona wakina chris brown lil wayne kanye jay z nk wapo chini ya record lebel yan huyu ni ili mradi tu aonekane hamkubali kiba ila akubali akatae ishamuingia haina namna atulie na kiki zake #aje
  2. N

    Uhamisho wa watumishi wa Serikali

    duuu mie nilikamilisha vibali vyote af jina halijatoka tatzo linaweza kuwa nn wakuu
  3. N

    Sioni jina TAMISEMI wakati vibali vyote nilikamilisha

    Ndugu zangu mimi nimekamilisha vibali vyote vya uhamisho lakini cha ajabu sioni jina langu, kama kuna mwenye tatzo kama hili tusaidiane jinsi ya kufanya chap chap.
  4. N

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    we byanjweri mi nko muleba nataka kwenda mwanza fanya tubadilishane au unataka sana manispaa
  5. N

    Lulu: Diamond hana hadhi ya kuwa na mimi

    Domo lile ampate nani? Amezoea kupiga wasio na akili kama yeye tangu nizaliwe sijawahi kuona mwanamuziki limbukeni na malaya kama daimondo
  6. N

    Lulu: Diamond hana hadhi ya kuwa na mimi

    Domo lile ampate nani? Amezoea kupiga wasio na akili kama yeye tangu nizaliwe sijawahi kuona mwanamuziki limbukeni na malaya kama daimondo
Back
Top Bottom