Recent content by n00b

  1. n00b

    JamiiForums Tanzania Changamoto za SelcomPesa - Julai 30, 2026

    Wamerejesha huduma sawa. Hizi mambo zinahitaji stable infrastructure haswa
  2. n00b

    JamiiForums Tanzania Changamoto za SelcomPesa - Julai 30, 2026

    Inaonekana leo Julai 30 mfumo wa SelcomPesa una muskeli. Kuna wengine mnapata changamoto hii? Ni pale inapokuwa ushafika counter unatakiwa kulipia na mfumo ukakuumbua. 🤭
  3. n00b

    JamiiForums Tanzania Tanzania: 23 Ordinary Citizens Charged in Mwanza Over "July 7" Plans

    July 23, 2026 A deeply concerning and historically familiar pattern of legal weaponization is currently unfolding in Tanzania. Newly filed court documents from the Resident Magistrate Court of Mwanza reveal that the state is once again utilizing the Prevention of Terrorism Act and the Economic...
  4. n00b

    JamiiForums Tanzania Instagram services are down globally - July 22, 2026

    Instagram is currently experiencing a widespread global outage, with thousands of users reporting app failures, blank screens, and connectivity issues since earlier this afternoon. The disruption is primarily affecting the mobile app and server connectivity. Since Meta has not yet released an...
  5. n00b

    JamiiForums Tanzania David Misime: Wameondoka kwenye ajenda ya maandamano sasa wanahamasisha kuchoma shule, kukata watu vichwa na kupora Askari silaha

    Hizi kauli za Polisi zinatoa ishara mbaya sana. Bado kuna mtu anaamini kuna nia kweli ya maridhiano?
  6. n00b

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chivayo aiweka Kenya mfukoni? Kampuni yake yapewa dili la Dola Bilioni 2.9 kuboresha Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta (JKIA)

    Kama mnavyojua, linapokuja suala la miradi mikubwa ya miundombinu (mega projects) katika ukanda wetu wa Afrika Mashariki, mambo huwa hayaishi vituko. Baada ya kelele nyingi, migomo ya wafanyakazi, na kesi mahakamani zilizopelekea kufutwa kwa ule mkataba tata wa uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa...
  7. n00b

    JamiiForums Tanzania Wanajaribu kushindana na Teknolojia, wataweza? Hotuba ya Pavel Durov na Somo kwa Tanzania yetu ya VPN!

    Wakuu kwema? Kama wewe ni mtumiaji wa mitandao hapa nchini, basi huna budi kutenga dakika 5 kusikiliza au kusoma uchambuzi wa hotuba ya hivi karibuni ya Pavel Durov (Mwanzilishi na CEO wa Telegram) kwenye mkutano wa Oslo Freedom Forum https://youtu.be/1Yq_5aDdJ24 Durov ametoa hotuba ya...
  8. n00b

    JamiiForums Tanzania China imezika Shahada 12,200+ zilizopitwa na wakati kupisha AI. Tanzania bado tumelala? Wasomi wetu wamejiandaa au tusubiri vilio vya 'hakuna ajira'?

    Kuna ukweli mmoja mchungu sana kuhusu mfumo wetu wa elimu ya juu hapa nchini ambao kama tusipoujadili sasa, kwa uwazi na bila kupepesa macho, tutakuja kujuta kama taifa baada ya miaka mitano au kumi ijayo. Wakati sisi hapa Tanzania bado tunapambana kuongeza udahili wa wanafunzi kwenye kozi...
  9. n00b

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Mwigulu amshukuru Samia kwa teuzi mbalimbali kwa baba yake ikiwemo kuwa Waziri Mkuu

    Dah, mkuu unaona ni sawa hivi?
  10. n00b

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Mwigulu amshukuru Samia kwa teuzi mbalimbali kwa baba yake ikiwemo kuwa Waziri Mkuu

    Wakuu, Mnazionaje siasa za Mwigulu Nchemba na familia yake? Wanatuonaje watanzania?
  11. n00b

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari na Chuo Kikuu cha Patrice Lumumba, Russia

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) nchini Urusi. Tuzo hiyo ni ishara ya kutambua uongozi wake, mageuzi katika sekta ya elimu, juhudi zake katika kuimarisha diplomasia ya Tanzania pamoja na...
  12. n00b

    JamiiForums Tanzania Tanzania Development Vision 2050: A critical view and alternative thoughts

    The Tanzania Development Vision 2050 is a detailed and ambitious document that outlines a clear and inspiring plan for the country's future. Its strengths include inclusive language, a solid foundation in good governance, an honest look at past challenges, and a logical structure that connects...
  13. n00b

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkuranga: Kura feki za kamatwa zikisafirishwa kwenda ukumbini

    Oktoba tunatiki
Back
Top Bottom