daaaah.. now nko ubungo naangalia n namna gani naweza fika kituo Arusha dc.. lakin mpaka sasa hakuna basi hata moja lililoruhusiwa hapa ubungo stendi... daaaah jamani hii serikali yetu mbona haiwi pro active mpaka tukio litokee ndo wachukue hatua
ww acha kulialia hpa.. tamisemi wanajua wanachofanya.. so kuwapangia watu tofauti na maeneo waliyoomba n kuondoa ile dhana ya preference ambayo watu tunayo.. hv unafikiri kila mtu angepangiwa alikoomba s shule zngine zngekosa walimu... ulishasmbiwa mjini pamejaa mpaka kna walimu wa ziada...
jaman mbna mnakua wagumu kuelewa.. tangazo lenyewe linajieleza... wameondoa kwa muda orodha ya majina ili kuwajumuisha na wahitimu wa SEKUCO.. xo hamna mabadiliko yatakayo fanyika kwa wale waliokwisha pangiwa halmashauri... na tarehe ya kuriport haitobadilika pia coz kinachofanyika n kuingiza tu...
Hv kwa wale mnaosema ajira za walimu mwaka huu hamna.. sijui serikali haina pesa... hv niwaulize mshawahi kusikia hata siku moja serikali ikatangaza kuwa ina pesa... msiwe km wageni na serikali zetu za kibongo...kila cku serikali itakwambia hamna pesa afu ukicheki mambo mengine yanatekelezwa km...
siku zote ukiona mtu kapost post km hii ujue huyo mtu anasugua bench mtaan hana mishe.. hvo anataka kuwavunja moyo walimu wenye uhakika na ajira zao mkononi..
Utauponda sana ualimu lakin mwalimu ajira yake ipo.. na ww wa sociology utaendelea kusugua bench mtaan...
Walimu oyeeeeee....
Msaada jamani : hivi mnavyoona kunaulazima kwa mwajiriwa kujiunga na mifuko ya pension km NSSF,PPF, LAPF etc.. Na ni mfuko gani wa lazima ambao kila mwajiriwa anatakiwa kujiunga?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.