Iringa nadhani kuna tatizo kwenye energy point(yin & yang)!. ama geographical chakra![emoji848] maana ni sehemu ambayo ukikaa kwa muda utajikuta automatically unapenda ngono,. sio coincidence hii, hata case za ubakaji ni nyingi sana, za Kuongezeka Ugonjwa pendwa wa Ukimwi ni nyingi vilevile japo...
kisichopo hakithibitishiki kua hakipo, kwasababu hakipo kuthibitishika kua hakipo, ila uthibitisho wa uwepo ni lazima uwepo, na unapokosekana maana yake huo uwepo umekosa sifa ya kuwepo hivyo haupo!,
Thibitisha mungu yupo!.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.