Recent content by Mzungujr

  1. M

    Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

    Naomba link ya Game Kati ya Barcelona na Liverpool UCL
  2. M

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Naomba Kueleweshwa hapo kulingana na Muda wetu hapa Tanzania tunatumia ipi kati ya EDT na GMT katika masaa halisi yakutrade
  3. M

    Nauza Rav 4 Old Model

    Mwisho 12M kama unania nichek
  4. M

    Nauza Rav 4 Old Model

    Ok
  5. M

    Nauza Rav 4 Old Model

    cc 1990
  6. M

    Nauza Rav 4 Old Model

    Una bei gani wewe ?
  7. M

    Nauza Rav 4 Old Model

    Rav 4 Old Model inauzwa Million 13.5 ipo katika hali nzuri Nicheki kwa 0718234465
  8. M

    Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    Natafuta nyumba yakupanga maeneo ya KILUVYA KWA KOMBA au KIBAMBA NJIA PANDA YA SHULE iwe na Chumba kimoja Self , Sebule na Jiko. Ndani Gypsum,Feni,Umeme wakujitegemea na iwepo sehemu ya Parking ya Gari ndogo
  9. M

    Rav4 L price 9M only

    Kwann wew unaiuza ,.ina tatizo au ?
  10. M

    Msaada wa Kisheria: Hati ya nyumba ya familia ilitumika kukopewa mkopo CRDB pasipo famila kujua

    Tumeweka pingamizi tayari mahakaman na CRDB hawajatoa jibu juu ya pingamizi hilo,na kilichotushangaza zaidi tarehe 27 June 2016 (Jumatatu iliyopita) walipita na kipaza sauti mtaani kwetu wakitangaza mnada wa nyumba na kesho yake tarehe 28 June 2016 walikuja nje ya nyumba wakapaza sauti eti wapo...
  11. M

    Msaada wa Kisheria: Hati ya nyumba ya familia ilitumika kukopewa mkopo CRDB pasipo famila kujua

    Mzee(Baba) alitumia Hati ya Nyumba ya familia kukopea mkopo CRDB Milion 9 pasipo wanafamilia kujua(alikopa kwa siri bila kufata utaratibu) na sahihi ya mke(Mama) ilifojiwa. Kama familia tumegundua baada ya marejesho kukwama ambapo alikuwa tayari kabakiza deni la Milion 6 na Laki 3. Mpaka sasa...
Back
Top Bottom