Recent content by Mzungu Mweusi

  1. M

    JamiiForums Tanzania TuwachoreTu

    Mabadiliko ya nchi yanaanzia ngazi ya Familia. Hebu tuanze kubadilika sisi kwanza. Maana mnasema raiya wote ni Wasanii, tupunguze basi usanii Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete atangaza nia ya kuanza kwa Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR)

    Kura zatafutwa kwa nguvu zote. Lakini akumbuke waTanzania siyo mbumbumbu tena. Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  3. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi CHADEMA mnapaswa kuheshimu maamuzi ya CC kwa kutojiingiza kwenye malumbano

    Mkuu siasa sio porojo na kukubalika kwa watu. Siasa ni jinsi gani unasimama kutetea Chama chako dhidi ya maadui. Kumbuka lengo la vyama vingi ni kuleta mabadiliko kwa kubadili system ya utawala na sio kwa kubadili mbunge mmoja. Zitto hana chake tena na hii itamsumbua katika Uchaguzi ujao. Labda...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kurudishiwa fedha za deci

    Naomba msirudishiwe hizo fedha ili iwe fundisho kwa wote mnaotaka utajiri bila kufanya Kazi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni madikteta, Zitto sio mkaguzi wa mahesabu ya serikali, mmemvua uongozi!

    Nadhani mkuu wewe ni mwanafunzi wa form II. Hujui lolote lile. Ni heri kutulia kuliko kupost usivovijua
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini aliyekuwa makamu mwenyekiti cdm kajiuzulu baada ya zitto kusimamishwa?

    Kitu cha kwanza tambua kwamba Zitto hajalazimishwa kujiuzulu.. Ukishatambua hilo ndio uulize swali lako lenye majibu ya wazi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Potato head.. Huo ukanda unauhubiri wewe
  8. M

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Kuwa na subira mkuu. Taarifa rasmi haijatamkwa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Kweli we PUNGAHEWA
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Msiojua siasa ndio mnaamini hivo.. Tatizo si lako ila ni udandiaji wa mada usizozijua
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa haki za binadamu (LHRC) Ponda siyo binadamu?!!?

    je nikikuua wewe au nikikupiga risasi ya bega?
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wachezea kichapo cha haja uchaguzi wa mitaa DAR!

    kaona nini sasa! mtabaki kubwabwaja ujinga tu huku baba zenu kina Riz wanakula nchi na nyie mnakenua tu kama wendawazimu wa stand
  13. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wachezea kichapo cha haja uchaguzi wa mitaa DAR!

    watu kama Ifweero naamini ndio walioipa nafasi ya ushindi CCM.. kajamaa kanafki na kanajidai kanaHarakati... karne hii huwezi kuwa mtumwa wa fikra na maamuzi, unafurahia ujinga wa mwenzio kuDiss wapiga kura wa mikoani kuikataa CCM!!. usiwe kifuata upepo kesho tutashindwa kukutambua..
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rwanda, Kenya & Uganda Kujenga Reli ya Mombasa-Kampala-Kigali kwa $13bn/-!

    unaelewa maana ya ulichokizungumza??? hujui economically ni benefits kwa majiji hayo!! Mombasa »Nairobi»Kisumu»Kampala»Kigali zote zitanufaika. na si umbali kama mnaodhania.
Back
Top Bottom