TuwachoreTu


MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
39,988
Likes
5,381
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
39,988 5,381 280
nchi ya waongeaji hii, matendo kiduchu....ona sisis tunachonga Kenya wanajenga reli
Viongozi wetu karibu wengi wao ni wasanii itakuwa Raia wa mitaani? Kazi kweli ipo bongo yetu........
 
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,735
Likes
2,005
Points
280
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,735 2,005 280
ukiwa kiongozi wa maslahi binafsi kutoka ni kazi sana..
 
M

Mzungu Mweusi

Member
Joined
Aug 11, 2013
Messages
29
Likes
0
Points
0
Age
113
M

Mzungu Mweusi

Member
Joined Aug 11, 2013
29 0 0
Mabadiliko ya nchi yanaanzia ngazi ya Familia. Hebu tuanze kubadilika sisi kwanza. Maana mnasema raiya wote ni Wasanii, tupunguze basi usanii

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
hekimatele

hekimatele

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
9,489
Likes
280
Points
180
hekimatele

hekimatele

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
9,489 280 180
Mabadiliko ya nchi yanaanzia ngazi ya Familia. Hebu tuanze kubadilika sisi kwanza. Maana mnasema raiya wote ni Wasanii, tupunguze basi usanii

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
That is one way of looking at it, which is not bad at all.
 
miss chagga

miss chagga

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Messages
57,572
Likes
31,022
Points
280
miss chagga

miss chagga

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2013
57,572 31,022 280
bla bla bla !!!!!!!!! siasa ya tanzania inakera bora kuuza ndizi inalipa aisee!!!
 
Red Scorpion

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Messages
5,733
Likes
3,228
Points
280
Red Scorpion

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2012
5,733 3,228 280
nchi ya waongeaji hii, matendo kiduchu....ona sisis tunachonga Kenya wanajenga reli
Wakiwadrop kwenye jumuiya ya nanihii kelele kibao!
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
23,017
Likes
6,173
Points
280
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
23,017 6,173 280
Mimi huwa napenda lile la mpiga kura, anayesema hajawahi kupiga na wala hatokaa apige kura. Mwenzake anamwambia, tusipopiga kura wote Boga haliwezi kuwa rais
 

Forum statistics

Threads 1,250,688
Members 481,436
Posts 29,741,829