Recent content by MZUNAYE

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa tv,cctv,intercom na data/wifi networking yuko j/f

    Wanajamvi ninajishughulisha na ufungaji wa wiring za tv,kamera za usalama yaani cctv,tv satelite dish,simu za ndani extensions pamoja na data net(intenate) ktk maofisi mahotel na majengo ya kawaida na maghorofa.anaenihitaji napatikana dar 0713 276 283 aksanteni wajenzi mmenisikia gharama zangu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Yawezekana inategemea make ya tv yako kama ina support zote lan na wifi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Wakuu eeee mimi kdg nakautalaamu kuhusu ict,achaneni na haya ma chanel ya kutumia ma dish iwe ku band ama c band.kanunue smart tv yyte ambayo ina port ya lan(local area network)hutumika kwenye internet then nenda ktk network set up ya menu ktk tv yako uki serch utapata chaneli mpaka elf 4.nb...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

    Mombasa/kwa diwani/kwa maguruwe/kwa mfuga mbwa/kwa matiasi/maili moja/bomubomu kijiwe samli/mwembe yanga endelea
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jipatie mkwanja kwa njia hii..

    Sasa hawa jamaa wanakupa task ipi ndo wakulipe?na wao wana benefit nn
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye namba hii ananitishia amani anadai ataniua ndani ya siku nne

    Pole kaka jifanye kama unatuma tigopesa hivi utaona jina lake ktk display halafu tafuta sheh asome albadiri kabla hajakuwahi
  7. M

    JamiiForums Tanzania tafadhali wenyeji nifungulieni

    Jamani mm new comer wana jf naomba mnitambue
  8. M

    JamiiForums Tanzania Funny Names of MPs

    Pesambili/simbachawene/
  9. M

    JamiiForums Tanzania Funny Names of MPs

    Kigoda,maua madaftari,ghasia
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi kilimo cha kitunguu "kitanitoa"

    kaka fungua mtandao wa yutube halafu andika how to grow onions kuna wataalamu ucpime
Back
Top Bottom