Recent content by mzm

  1. M

    Msaada FUNDI Maarufu SUBWOOFER za Gari DAR

    Wanajanvi natafuta fundi mzuri sana wa subwoofer za magari. Naogopa hawa wa vijiweni. Kwa mwenye kufahamu fundi mzuri hapa DAR naomba anipe jina la eneo na mtaa au ani PM namba yake ya simu.
  2. M

    Msanii Langa afariki Dunia!

    Msanii wa Hip Hop Langa Kileo amefariki dunia kwa ugonjwa wa "malaria" Pole mzee Kileo kwa kufiwa na mwanao. Ulimjali sana kwa juhudi zako za kumsomesha shule zenye hadhi nje na ndani ya nchi. Hata hivyo malengo yako Mzee Kileo hayakutimia kwani mwanao aliharibika kwa kufuata maisha ya...
  3. M

    Albert Mangwea (Special Thread)

    Now I know the nature of a person im writing to. Enjoy the world.
  4. M

    Albert Mangwea (Special Thread)

    Chunga sana wanasiasa. Wanaangalia maslahi ya kisiasa na kujionesha wanajali watu. naamini unaijua hiyo saikolojia ila unajifanya kama umeisahau vile!
  5. M

    Albert Mangwea (Special Thread)

    maoni yako yanafanana na avatar yako.
  6. M

    Albert Mangwea (Special Thread)

    Umuhimu wake ni hizo nyimbo na video zinazoonesha madem wamebana mat.ako, kuvaa minyororo shingoni, kujirusha kwenye ma pub, kutoboa masikio, na kuvaa mlegezo? kawafunza nini wadogo zetu zaidi ya kuwaharibu? hivi wewe mpagani au? hata kama, huwezi kufikiri faida na hasara? nawe utakuwa ni...
  7. M

    Albert Mangwea (Special Thread)

    Ha ha hah!! Ukweli unakuuma! vumilia! maneno sio makali, huo ndo ukweli.
  8. M

    Albert Mangwea (Special Thread)

    Mapokezi na mazishi waliyomfanyia ni kama shujaa kitu ambacho SI KWELI. Utafikiri amekufa akiwa vitani anatetea tanzania!!! Huu ni upuuzi! Nyimbo zake (na wasanii wengine wa bongo flavor) hazina tija wala umuhimu kwa wadogo zetu. Zaidi nyimbo zinachochea uzinifu, ulevi wa pombe, kuvaa heleni...
  9. M

    Nina millioni 80 nataka ushauri wa biashara

    Anataka kumuibia huyo!!!!
  10. M

    Hakuna mgogoro wa kidini Tanzania, zote ni siasa, Watanzania tuamke

    Wanasiasa wakitumia baadhi ya wanaojiita viongozi wa dini, wanataka kututenga kupitia imani zetu za dini kwa manufaa ya kisiasa. Kauli za kwamba kuna udini zinatoka kwenye midomo ya wanasiasa. Wanafanya hivyo kuingiza fikra za udini kwa wananchi kisha kuigawa nchi kwa uchu wa kupata madaraka...
  11. M

    Mbunge Sugu, mchumba wake na mtoto wao wakihamasisha utalii wa ndani.

    Unapokuwa public figure, hasa kiongozi wa jamii, kila unalolifanya au kulionesha hadharani ni kama unafundisha jamii ifuate. picha ya huyo dada si nzuri!
  12. M

    Sakata la Bomu: Pengo afichua siri

    Siamini ninachokisoma humu! hivi kumbe watu walikuwa na majibu yao kuhusu aliyehusika kurusha bomu? Siamini watu wanavyomkana kiongozi wao wa dini!!! Hivi kumbe na mimi nikienda kutupa bomu kanisani kesho kwa nia ya kuchochea uhasama wa kidini naweza kufanikiwa lengo langu!!!!.... Hivi hamjui...
  13. M

    Wa Tz Tutakufa Maskini Kwa Kimbilia Kuchimbia Pesa (Kujenga) Badala ya Kuizungusha Izae Zaidi

    Natamani kila thread iwe na mvuto kama hii. Ninajifunza mengi sana! Thanks Lara 1.
  14. M

    Naomba Mob.No Ya Prof Safari au Lissu

    Akili zako huna tofauti na wajerumani waliotutawala enzi za ukoloni. Ukombozi unakuja. Utake usitake.
  15. M

    Dk Slaa: Tuhuma za Lwakatare kuteka waandishi zimepikwa

    Sasa ndugu yangu unajua unachokiandika lakini? Au wewe ni CCM? Mbona kama huelewi? Au ni miongoni wa mliopanga njama hii? HOJA HAPA NI KWAMBA SAUTI UNAYOISIKIA KWENYE CLIP SIO YA RWAKATALE. IMEWEKWA KUFUATISHA MDOMO WAKE UNAVYOCHEZA. Umewekewa clip ya Obama iliyofanyiwa mchezo kama huo wa...
Back
Top Bottom