mapenzi kwa watoto wa chuo unahitaji moyo wa ziada.kata mawasilano nae tafuta bint kidogo yupo nje ya elimu ya chuo tangaza nia oa hakuna namna huyo mtoto ni pasua kichwa
ili uongeze maarifa soma vitabu vingi pia uwe na uwezo wa kuchambua mawazo na kuweka dhamira yakufanya yale mazuri kwenye vitabu ulivyosoma.....MWL RCT.....endelea na huo moyo
simple kubeba pia hutia hamasa ukitafuna huku una watch movie ila usikaee karibu na watu wenye mizuka na muku huishia kuzirusha na kumwaga eti movie imemwingia
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.