Hao wahitimu wamesoma kwa pesa za ccm sio loan’s board au kwa influence ya ccm wamefutiwa madeni na loan’s board.
Kwa muhitimu mwenye akili timamu akiwaza makato ya 15% na ile 6% ya retention fee hawezi kuikampenia CCM
Kwa hiyo ukiambiwa kuna vifo 300 strategies zitabadilika?
Kuna tofauti ipi ya kuambiwa ugonjwa bado upo na kutangaziwa idadi ya vifo?
Hatutangazi sasa.
Wewe ukitangaziwa wamekufa 200 itakusaidia nini? Utaenda kuwafufua?
Serikali imeshasema ugonjwa upo tuchukue tahadhari full stop
COVID ipo lakini sio ugonjwa special sana hadi tuutukuze. Kuna magonjwa mengi kila dakika yanaua watu wengi tu na maisha yanaendelea.
Kwenye hii COVID namuunga...
Watalamu walishasema COVID itaendelea kuwepo na tutaishi nayo kama surua, HIV/AIDs, chicken pox, malaria na magonjwa mengine.
Hatuwezi kusimamisha shughuli zote kwa sababu ya ugonjwa ambao hatujui ukoje na lini utaisha.
Kuhusu kufa watu hawajaanza kufa leo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.