Recent content by Mzima milele

  1. M

    JamiiForums Tanzania George Ambangile apewa zawadi ya gari na Wasafi FM

    watu wanachanganyakiwa na kitu kimoja, ambangile anaongea kinadharia sana, mara nyingi haziwi real, anajua kuelezea mpira ulivyokuwa, hapo kawazidi wachambuzi wengi, tena anawazidi hata makocha wenyewe wenye timu zao-ubaya wa nadharia bana unakuwa unajua kila kitu , ila ukitaka uchambuzi halisi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wa elimu ya juu ni kundi la wanyonge waliosahaulika

    vijana wenyewe wanaunga mkono juhudi, wanamaanisha unachokizungumza ni uongo.
  3. M

    JamiiForums Tanzania QUANTUM IMMOTALITY: Nadharia ya kukwepa kifo. Je, ni kweli Rais wa urusi PUTIN anaishi milele?

    kwa mimi ninavyofahamu kuwa , roho ya binadamu ndo inayojua kila jambo unalolitaka, la hata lisaa limoja baadae, ina majibu na maswali yote unayojiuliza, yaan kwa kifupi ina kila kitu ila sasa binadamu tumepotezwa tunaaminishwa kuwa akili zetu au bongo zetu ni kila kitu, na kuwa zinauwezo mkubwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ndiyo basi tena ulimwengu wa fialmu, kwisha habari yake!

    sio muvi tu hata mziki wa miaka hiyo ilionekana mizuri sana nahisi kuna sababu ambayo bado hatujaijua coz zipo muvi now ambazo zinachezwa kwa uhalisia km za zamani lkn hazidumu, pia wasanii wa zamani hata wakitoa ngoma kali haidumu km zama zao.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwakinyo ni Bondia bora sana kuliko Media zilivyomu-Attack Baada ya mapambano la juzi

    naona hatuelewani kiswahili ndugu, endelea kuamin unavyojua ww.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kamisaa kashtuka sana Namungo kukosa penati

    wasisahu na kipa wao kutoka kweny mstari kabla mpira hujapigwa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwakinyo ni Bondia bora sana kuliko Media zilivyomu-Attack Baada ya mapambano la juzi

    sio nje tu , hata hapa bongo mabondia wanajitapa ila ushawahi kusikia wanazungumziwa km wanazdharau? km pambano la juzi kat ya twaha na dullah kabla ya hata makubaliano la pambano , jinsi kila mtu alivyokuwa anamtambia mwenzake mpaka wakakubaliana kupigana ni ilichukuwa muda sana, lakin hakuna...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwakinyo ni Bondia bora sana kuliko Media zilivyomu-Attack Baada ya mapambano la juzi

    kama aliweza kupanda uzito bas ni rahis kushuka pia, ila nachosema kuwa sio ukitakiwa upigane, hata marekani utakuta bondia anatakiwa na mtu ila anaangalia malengo yake, lkn ukileta maneno ya shombo shombo ilo ndo tatizo, mm sina tatizo na mwakinyo kukataa kupigana na sababu zake za mwanzoni...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Pound For Pound Boxer Ranking (Tanzania)

    kwa rekodi halisi ya mwezi uluopita anaanza class mawe, nahis mwakinyo atafuata, mfaume, twaha, dullah,tony, (kuanzia wa pili n muono wangu)
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwakinyo ni Bondia bora sana kuliko Media zilivyomu-Attack Baada ya mapambano la juzi

    uzito saw , wote 69, ila twaha alipanda uzito sababu ya dullah, ila uzito wake rasmi n 69, afu pia mwanzo twaha alimtaka mwakinyo km mabondia wowote dunian wanavyotakana so akuchukulia kwa ubaya japo mwakinyo kachukulia km ubaya na kuanza maneno ya kanga , baada ya ivo twaha akawa analiweks sawa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu hili la Martrial Arts

    jiu jitsu n ya brazil, judo na nijitsu na karate ndo japan, ila jiu jitsu n zao la judo ila limetengenezwa na wabrazil ,.
Back
Top Bottom