Recent content by Mzila nkende

  1. M

    JamiiForums Tanzania Video: Azimia jukwaani baada ya kutumbuliwa na Makonda

    Fikiri japo kwa mda kidogo tu ndo utoe comments zako.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Picha:- Uwanja wa Ndege Songea

    Unamkubali kwa lipi? Kupiga wakosoaji wake risasi? Au Kuwapendelea wa ukanda wake? Au Kuwapoteza kina Ben na Azori? Au Kutohudhuria misibani? Au Kuwabambikizia wapinzani Kesi? Au Kujenga uwanja wa ndege chato ilihali uwanja wa ndege wa mwanza hautamaniki ? Au Kufuta ada ya sec ya 10,000/ na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Siku kama ya leo alizaliwa mwanasheria maarufu nchini Tanzania, Tundu Lissu huko Ikungi mkoani Singida

    Mungu akubariki na kukujalia miaka mingi zaidi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba: Rais hataki miaka 7 ila sisi tunataka, Bunge lifanye mabadiliko ya Katiba

    Fyatu na jinga la karne hili
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kushtakiwa Mahakama ya Kimataifa kutokana na mahojiano aliyofanya na BBC

    Sina uhakika kama huyu ni bashite no ngapi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Bituko Kazeli: Uwepo wa vyama vingi umekwamisha maendeleo Tanzania

    shida ya taifa letu ni unafiki na kujipendekeza.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu Rais Magufuli kama ni kipenzi cha watanzania, utafit wa TBC ulitulagai?

    Yaani TBC wafanye utafiti unaomuhusisha SIZONJE na penyewe useme kuna utafiti??? Huku ni kupiga akiri yako roba
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tumpigie Rais Magufuli kura ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017

    Ni kweli ana kasi sana bila control, sijui tutafika salama!!. Eee Mungu tusaidie na huyu dreva wa kasi ya kutisha
  9. M

    JamiiForums Tanzania Moses Machali: Askofu Kakobe siyo mchungaji wa kiroho

    Hili limachali ni jinga kabisa,
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naona dalili za wazi kufa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Siku ukijielewa utaamka
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naona dalili za wazi kufa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Acha kuogopa kivuli chako,
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kabila la kwanza hadi la mwisho nchini kwa ubora wa kiasili wa uzalishaji vyakula vyenye lishe nchini:

    Hongera mtafiti, data nzuri na kuna ukweli wa kiwango cha juu sana. Lakini pia kuna changamoto kadhaa, mfano upatikanaji wa chakula kwa wakerewe kwa miaka ya hivi karibuni ni mbaya sana na hawawezi kupata wastani wa A
Back
Top Bottom