Recent content by mzigua pekee

  1. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha nne: TUNALO LA KUJIFUNZA ZAIDI KWA KANISA KATORIKI?

    namba wanatoa baraza la mitihani, majibu wanatoa wao na kila mwanafunzi taarifa zake zipo baraza la mitihani, watashindwaje kuchakachua watakavyo? mfumo huu haukubaliki hata kidogo, hii ni dhulma kubwa wanayofanyiwa muslims, ila naamin kila jambo lina mwisho.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli wahalifu au kuna jambo lingine?

    Are u great thinker?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli wahalifu au kuna jambo lingine?

    sawa huo ni mtazamo wako.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli wahalifu au kuna jambo lingine?

    Kosa liko wapi wakati wao ni wazanzibar?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli wahalifu au kuna jambo lingine?

    Tarehe 30/01/2014 ni siku ya hukumu ya mashekh Zanzibar{mselem,faridi,mussa nk},tarehe 16/01/2014 kesi ya shehe Illunga kusikilizwa mwanza,tarehe 17/01/2014 kesi ya Imamu Hamza kusikilizwa mwanza na tarehe 06/02/2014 kesi ya shehe Ponda kusikiizwa Morogoro. JE MASHEKH HAWA WOTE WAOVU? HAWAFAI...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa awapasha akina Nape na Mangula...

    ataendelea kutumika tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Albert Msando: Hatushindani na chama au wanachama wa CHADEMA

    Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

    tunasubiri habari za uhakika toka kwako kamanda.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

    zito mwanachama wa mahakama
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama kuu yaahirisha kutoa uamuzi dhidi ya Zitto

    CUF ninayoijua mimi hawawezi kufanya hivyo, labda kama hao wahuni tu wenye lengo la kukichafua chama cha CUF.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi; Waziri Mkuu alilidanganya Bunge na Taifa

    kwa kiasi hicho wasomi wenye tamaa wote watakimbilia kwenye siasa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hivi mamlaka zipo wapi Dr.Slaa kupigwa mikwara ya kufanya mkutano,na CCM kushabikia?

    dr slaa yuko fiti hahitaji ulinzi wa ccm
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mizengo Pinda: Mshahara wangu kama Waziri Mkuu hauzidi Shilingi milioni sita (6)

    hee! kwani wengine wanakopaje na wanalipaje?
Back
Top Bottom