TRA ni taasisi inayokusanya kodi nchi nzima ikiwemo Zanzibar, na Zanzibar nayo ina taasisi yake ya kukusanya kodi kwa Zanzibar ambayo ni ZRB.
Pesa zinazokusanywa na TRA kutoka Zanzibar hupakiwa kwenye boti ya mwisho inayoondoka Zanzibar na kupelekwa Tanganyika. Hii ikimaanisha ya kwamba...
Kwa taarifa zenu huyu kijana ni crown prince wa Dubai na huyu sio mgeni nchini Tanzania kushekuja mara nyingi hapo nyuma. Huwa anakuja kimya kimya tu.
Babake ambae ndie mtawala wa Dubai ni Waziri Mkuu wa UAE na sio Makamo wa Rais.
Sio kwa hawa wanaoletwa kutoka mikoani kuja kufanya kazi ya omba omba. Kwa taarifa yako mapato ya kutwa huchukuliwa na hao wanaowaleta. Hawa hawafai kuwapa kitu chochote.
Wengi wao wamehamia ZANZIBAR na ni shida kupita kiasi kwani kuomba yenyewe wanalazimisha. Kuna kipindi fulani waliletwa vipofu wengi sana ikawa wanasambazwa mitaani kwa magari na jioni wanakuja kuchukuliwa. Lakini hawa vipofu hawapo tena wameletwa wenye kuona.
Huu ni mtandao mkubwa sana lakini...
Jaza sinia paketi za korosho kisha randisha mitaani, wenzako wakija ZANZIBAR ndivyo wanavyofanya.
Nilimsikia muuza korosho mmoja kampigia simu mwenzake aliyepo Bara, “Fanya uje ZANZIBAR mimi huku nalaza 2000 kwa kila siku”. Kwa hiyo na wewe fursa hiyo usiiache.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.