Mwana Mfalme wa Umoja wa Nchi za Kiarabu atembelea vivutio Tanzania

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,321
11,315
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ...Kazi Iendelee

Nichukue nafasi hii adhimu kabisa kuendelea kumpongeza Mama Yetu mpendwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kuvuta wawekezaji nchini ambao baadhi yao wamekuja au wanakuja pia kutazama vivutio vya kitalii nchini kwetu. Niwapongeze pia sekta nzima ya utalii nchini wanaoendelea kupambana usiku na mchana kuhakikisha nchi ya Tanzania uwekezaji na utalii uzifi kupaa juu.

Pengine wadau wa sekta ya utalii/uwekezaji hawajui kama nchini yetu na vivutio vyetu vimetembelewa na mtu muhimu sana kutoka umoja wa nchi za falme za kiarabu( UAE) si mwingine ni Mwana Mfalme, Crown Prince of DUBAI Sheikh Hamdan bin Mohammed bin Rashid Al Maktoum. Jamani sijui niseme nini, kutembelewa na mtu kama huyu kwakweli as Tanzanians we are very honoured.

Pengine hajataka attention sana lakini this is very huge. Huyu ni mtoto wa Makamu wa Rais wa UAE aitwaye Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum ambaye alikalia kiti hicho baada ya kifo cha kaka yake mwaka 2006, Sheikh Maktoum.

Prince huyu tulienae humu nchini akitembelea vivutio vyetu, ana utajiri wa usiopungua wa Dola Bilioni 5.5 sawa na Trilioni za kitanzania 12, na ana umri wa miaka 39. Kijana mpole na mstaarabu, anapenda kujichanganya na kila rika, anapenda michezo, wanyama haswa ngamia, adveture, ndege

Nawasalimu tena kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..Kazi iendelee! Hongera Mama ..Hongera sekta nzima ya Utalii na Uwekezaji nchini.

Picha chini akiwa amepiga na jamii ya wamasai, akifurahi nao pamoja kwenye mojawapo ya sehemu za vivutio Tanzania.​

Screenshot_20210602-205728_1622656717225.jpg
 
Mama mama mama mama huyoooo mama mama huyoo mama mama huyooooo.

Umenena Komredi....ulipokuwa SPEECHLESS nimekuelewa sana mkuu.

Mh.SSH ahongereke Sana.

Tunaelekea ile nchi ya AHADI aliyoisimami kwa nguvu kipenzi chetu HAYATI JPM.

Hakika ni furaha kutembelewa na huyo mwanamfalme BILIONEA....👍👍💪💪👊

#KaziInandelea
#KongoleMh.SSH
#NchiKwanza
#TunaendeleaNaMamaNaTutamalizaNaMama
 
Niwe mkweli bila kuficha chochote kilichopo moyoni mwangu, bila kusema uongo, ukweli wa moyo wangu .. nimeamua kusema yote yaliyouumiza moyo wangu.. niliyoyatunza moyoni .. kwa muda mrefu .. ambapo sijawahi kuzungumzia hapo kabla . ..kwa kuwa Ni Jambo/Mambo yaliyouumiza moyo wangu na kunitia hasira ..
Siku ya leo namshukuru Mungu amenijaza ujasiri na hamasa ya kuweza kusema hili.
Ninachotaka kusema Ni kwamba hata Sina la kusema.
 
Mama mama mama mama huyoooo mama mama huyoo mama mama huyooooo......

Umenena Komredi....ulipokuwa SPEECHLESS nimekuelewa sana mkuu......

Mh.SSH ahongereke Sana.....

Tunaelekea ile nchi ya AHADI aliyoisimami kwa nguvu kipenzi chetu HAYATI JPM......

Hakika ni furaha kutembelewa na huyo mwanamfalme BILIONEA....

#KaziInandelea
#KongoleMh.SSH
#NchiKwanza
#TunaendeleaNaMamaNaTutamalizaNaMama
Bado niko speechless mkuu.
 
Utalii wetu uwe wa manufaa kwa kuwekeza haswa
Sehemu zitengenezwe kama wenzetu wa South Africa hata kama ikibidi waende watu wakajifunze
Tuna wanyama wa kila aina na kinachowaleta wanatamani pia kuwa na baadhi ya wanyama hao kwenye bustani zao huko kwao

Wizara ijikite zaidi kwenye ubunifu sio tu kwenda kuzunguka na magari
 
Back
Top Bottom