Recent content by mzeewamakavu

  1. M

    Msaada nataka kununua gari hili

    Mkuu bei ya gari ikiwa Japan. inaitwa Fob na ikishatumwa na kufika Dar bei yake inakuwa Cif yaani hata insurance ya kwenye meli ishalipwa. Hiyo cif ndiyo Pilato anatumia kupanga thamini ya kodi
  2. M

    Nini husababisha baridi?

    Ndugu swali lako ni la msingi sana. Kama tujuavyo kipimo cha joto kwenye jua ni zaidi ya nyuzi ,6000cent.gredi . Ni kweli joto hupungua kadri unavyokwenda juu . Na hii hutokea kwenye tabaka la chini la anga linaloitwa kwa kiingereza Troposphere. Tabaka hili hupatikana kuanzia usawa wa ardhi hadi...
  3. M

    Wachungaji: Magufuli ametupunguzia mzigo wa kuliombea Taifa

    Ninyi baadhi ya wachungaji ni wepesi wa kuropoka. mnakumbuka kuwa hata Jakaya Mrisho kikwete alipochaguliwa mlikuwa wa kwanza kusema kuwa JK ni chaguan la Mungu. Tena kwa kujinasibu kuwa eti mmeambiwa na mungu kuwa JK ndiye chaguo lake. kitambo kifupi tu mkamgeuka. Hubirini uzima wa milele mambo...
  4. M

    Je, unamjua Masamaki anayekaa Pugu Kajiungeni?

    Masamaki huyu ndiyo Yule wa Tra mwenye nyumba 70?
  5. M

    Fastjet wanavunja sheria za nchi! Wanachaji watu kwa dola ya kimarekani

    Mleta Uzi amechekesha walonuna. Unajua hata bei ya Mafuta ya petrol imepangwa kulingana na dola ndiyo maana taasisi husika inatoa bei elekezi dola inapopanda au kushuka. Nauli ya ndege inapangwa kwa dola mashirika yote kinachofanyika mashirika mengine kwenye matangazo yao wanakubadilishia kabisa...
  6. M

    nahitaji mkopo kwa haraka narejesha na 30% riba

    Jamii forum inaunda jamii moja
  7. M

    UKAWA wazua hofu bungeni, polisi wajipanga kuwakabili

    Wekeni picha wote wawili maana mmoja wenu ni CCM anatetea kuwa hakuna polisi wengi na mwingine UKAWA anadai polisi ni wengi na nyote mna macho mawili ila mnaongea kufata mapenzi yenu. Mnapata faida gani?
  8. M

    TBC bila Replay Taifa Stars Vs Algeria ni Aibu!

    Tunaposema TBC inatia aibu tujitazame na sisi wenyewe kwani hata nyie wachangiaji wa hii mada mnzungumzia REPLAY lakini wote mnaandika REPLY . JE HIYO NAYO SIO AIBU KWENU?
  9. M

    Magufuli usitumie mshahara wako, tuwekee namba ya M-Pesa tukuchangie

    Hicho ni kiwango cha hali yajuu ya ulimbukeni. Wewe unayetaka kuchangia mchngo kwa rais magufuli huna tofauti na Limbukeni yeyote ambaye anaingia kwenye gari na kulipa nauli kwa mtu ambaye wala hawajaongozana safari moja eti tu aonekane anazo. hivi hujui kuwa unalipa kodi? Nini kazi ya kodi...
  10. M

    Magufuli, Pesa hizi zinatoka wapi?

    tatizo la watanzania kila jambo tunaleta siasa. Mtu akihoji serikali anaitwa Mpinzani hivyo watu wanapenda viongozi wapigiwe makofi tu kila wanaloongea . Mtoa hoja kaeleza vizuri sana tena kufatatana na matumizi ya serikali lazima yaidhinishwe na Bunge kinyume cha hapo ni kudanganyana tu na...
  11. M

    CHADEMA Mbeya walalamika kuhusu uteuzi wa Wabunge wa viti maalum

    Mbona Mbona dado unamung'unya? ukisema bila kuwataja majina hao watu unaodhani wamejiunga na chama nani atawajua na kudhibitisha kuwa usemayo si majungu au masufuria?
  12. M

    Hongera JK kwa kuiacha Dar ikifanana na Los Angeles

    Mleta mada inaonesha hajawahi kuvuka hata mipaka ya Tanzania
Back
Top Bottom