stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,746
- 27,214
Plaimali=Primary![]()
nakumbuka nliwahi kuuliza hili swali plaimali mwalimu akakosa jibu akasema nisubiri kesho.
Sababu ya sehemu za ukanda wa juu kuwa na baridi zaidi ni kutokana na hewa yake(air molecules) kuwa na pressure ndogo hivyo kutokuwa na uwezo wa kuhifadhi joto,ilhali kwenye ukanda wa usawa wa bahari molekyuli za hewaa huwa na pressure kubwa na hivyo kuweza kuhifadhi joto kwa kiasi kikubwa.