Recent content by mzeennikita

  1. M

    USED COMPUTERS FOR CHEAP PRICES.(Dell LATITUDE D610)

    PATA KOMPUTA AINA YA DELL KWA GHARAMA NAFUU YA KIASI CHA SHILINGI 280,000/= THS KILA MOJA. Dell Latitude D610 1.SYSTEM: Processor Type . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .Intel® Pentium® M Processor 730 (1.6 GHz), 750 (1.86 GHz) & 760 (2.0 GHz) Processor Features . . ...
  2. M

    Azam Tv kama Ulaya tu.!!!

    Panapotakiwa kusifiwa pasifiwe tusibaki kusubili wengine wandike ili upate pa kubishia,hongereni azam maana mnapaswa kupewa pongezi hizi na maanzalizi ya makao makuu ya azam tv pale mkabala na dar group na radio tz yanaonekana.
  3. M

    Mkopo

    access bank
  4. M

    Mchezaji gani ndani ya timu ya taifa ya tanzania naefaa kutuwakilisha kimataifa?

    MCHEZAJI GANI NDANI YA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA ANAEFAA KUTUWAKILISHA KIMATAIFA? Nafasi yake:........................ Umri wake:......................... DD-MM-YYYY Timu anayotokokea:................... Tafadhalini wadau wa soka la Tanzania NAOMBA mnisaidie kwa hili KUNIJUZA, TAFADHALINI!
  5. M

    Nawezaje kutimiza ndoto yangu ya kuwa tajiri number moja duniani?

    Nashukuru kwa ushauri mzuri nina hakika kwa ushauri huu wa wachache utaweza kunifikisha pale ninapohitaji kufika,shukrani kwa wote.
  6. M

    company registration msaada

    upo sawa kiongozi wala hujakosea.Mambo si magumu sana fuata hiko nlichokuandikia maana ndio procedure nlizofuata baada ya kufungua baadhi ya kampuni zangu.Gud luck brother.
  7. M

    Naweza fanya biashara na mtu yeyote na sipo tayari kufanya biashara na mtu yeyote

    Maana ya huu msemo ni kuwa wakati unaposhindwa kumuamini mtu kuna taratibu za kufuata ili uweze kufanya biashara nae na mtu wa namna hiyo na si kumkimbia maana inawezekana Yule unamkwepa ndio anaefaa na Yule unahisi yuko sawa kumbe ndio adui hivyo huo msemo hapo unakufaa na mbali ya yote...
  8. M

    Vijana Tanzania hatupendani. Tuna haribiana maishe. Nimetapeliwa na Kijana mwenzangu mtanzania nikiw

    pole sana fuata utaratibu wa kiusalama uweze kumpata muhusika ila cha maana zaidi kama ushauri kwa wadau wote ni kuwa usimuamini mtu amini kwenye kuandikishiana na mikataba ya kisheria hiyo ndio nguzo ya ufanyaji wa biashara ambayo njia hiyo hata mungu ametuagiza tuifuate katika biashara zetu.
  9. M

    Orodha ya matajiri kumi Tanzania

    Natumaini wakati wao wakiwa katika orodha ya matajiri kumi Tanzania mimi napambana kuwa katika orodha ya matajiri kumi duniani wakati mfukoni sina hata milioni.my dreams is to be billionaire in this world. my dreams is to be billionaire in this world.
  10. M

    Nawezaje kutimiza ndoto yangu ya kuwa tajiri number moja duniani?

    Nimepitia mambo mengi katika umri wangu mdogo ila kitu ninachoshindwa kukiacha maishani ni kuhusiana na ndoto yangu ya kuwa Tajiri namba moja duniani ingawaje ni mtanzania mwenye kipato cha kawaida ila mwenye malengo mengi ninayokazania yatimie,JE NAWEZAJE KUTIMIZA NDOTO YANGU YA KUWA TAJIRI...
  11. M

    Tukifanya hivi umaskini basi.

    Huu ni kweli usiopingika
  12. M

    Mafuta ya ubuyu hatari kwa afya

    NINI KINATAKIWA KIFANYIKE SASA MAANA YALE MAFUTA YANAYOONEKANA YANA USALAMA GHARAMA YAKE IPO JUU? :embarrassed1:
Back
Top Bottom