Recent content by Mzee2000

  1. M

    William Malecela Toka BCS - Jambo hadi JamiiForums

    Yes Nyenzi ilikuwa ndio mtandao wa kwanza kabisa, kama unawakumbuka wakina mdosi mzalendo, Dues, Curtis(waziri makamba sasa) uncle Ben na wengineo. Kwa kweli zama zimebadirika Sent from my SM-A226B using JamiiForums mobile app
  2. M

    FAKE: Rwanda yawatimua mabalozi wa USA, Belgian,UK & France

    Hii fake lots of grammatical mistakes na mimi niliingia mkenge
  3. M

    FAKE: Rwanda yawatimua mabalozi wa USA, Belgian,UK & France

    Hao hao ndi walimpa kiburi cha kuua mamia ya wanyarwanda na wacongo na ni hao hao watamtosa.Never make a pact with the devil
  4. M

    Simba na Yanga ni ngao ya kupumbaza wananchi wasifuatilie mambo muhimu ya nchi

    Hii inanikumbusha wakati wa mubarak huko misri. Vijana wengi walitumia muda mrefu kubishana kuhusu zamalek na arsenal wakati wao wana njaa..yaani TV zote zilikuwa mpira tu all the time. Kumbe ilikuwa diversion tactic ya serikari. Ila walivyoamka tu waligundua upuuzi huu, wakaanza harakati.Tz...
  5. M

    TANZIA Rubani wa Ndege iliyotekwa 1982 kushinikiza Nyerere ajiuzulu afariki dunia

    Mwaka 1985, age, 9 years ndio mmeingia kwenye Boeing 737 kuelekea mwanza. Mnatangaziwa captain Leo wa ndege atakuwa George Mazura. That feeling ilikuwa ndio definition ya adventure enzi zile kweli miaka imeenda. RIP Mazura, Sent from my SM-A505FN using JamiiForums mobile app
  6. M

    Paul Kagame: Dikteta katili anayefugwa na Wamarekani

    Sio nwamwasa tu aliyethibitisha.Ni pamoja na ripoti ya wahuspania na wafaransa pamoja na aliyekuwa mkuu wa upelelezi wa Kagame Patrick Karegeya ambaye aliuawa.Kama kagame hana cha kuficha kwanini anawaua waliokuwa washiriki wake? Sent from my SM-A505FN using JamiiForums mobile app
  7. M

    Paul Kagame: Dikteta katili anayefugwa na Wamarekani

    https://www.bbc.co.uk/news/world-africa-58557350 Sent from my SM-A505FN using JamiiForums mobile app
  8. M

    Paul Kagame: Dikteta katili anayefugwa na Wamarekani

    Na hicho RPF walipanga kabisa na sio hivyo tu, RPF vilevile waliua watusi wenzao wengi tu pamoja na wahutu. Sent from my SM-A505FN using JamiiForums mobile app
  9. M

    Paul Kagame: Dikteta katili anayefugwa na Wamarekani

    Rwanda ni kama jela fulani hivi ya nje yaani huwezi kusema kitu kupinga RPF ukatoka salama Sent from my SM-A505FN using JamiiForums mobile app
  10. M

    Paul Kagame: Dikteta katili anayefugwa na Wamarekani

    Kagame anapata sifa nyingi sana hasa kwenye vyombo vya habari vya magharibi lakini ukweli ni kwamba sababu kubwa ya kupendwa ni kwamba yeye pamoja na Museveni ndio walinzi wakuu wa western interests katika great lakes region (hasa Marekani). Katika historia ya Afrika Mashariki na kati hakuna...
  11. M

    Strategy ya Corona ya Rais Samia ni ipi?

    Bank ya dunia imesema haitatoa mkopo mpaka takwimu na Tahadhari nyingine za covid zitakapochukuliwa sasa naona Samia anaanza kutoa maelekezo. Mdogo mdogo Samia ataelewa tu maanayake viongozi wengine wa Africa lazima washikiwe Fimbo. Sent from my SM-A505FN using JamiiForums mobile app
  12. M

    Strategy ya Corona ya Rais Samia ni ipi?

    Wakati tukiona wimbi la tatu likianza nchi za jirani, Raisi wetu ana mpango gani kuhusu korona? Mbona bado takwimu hazijaanza kutolewa? Je, huko mikoani kuna vipimo? Je, hospitali zote hasa mikoani zimetayarishwa pamoja na vitendea kazi? Je, vyama vya madaktari vinasemaje? Sent from my...
  13. M

    Vijana tunadharaulika sana, tufanye nini ili kujikwamua na madharau hayo ya viongozi wetu?

    Mimi naona tatizo la vijana Tanzania ni kutokuwa na uharakati. Vijana nchi nyingine wakiona serikari yenye dhulma huandamana kudai haki zao.Hapa Tz weka diamond tu hutawakosa. If you don't take yourself seriously nobody will.
  14. M

    Askofu Mwamakula na matembezi ya hiyari

    Desmond tutu wa Tanzania
  15. M

    Swali Gomvi: Korona 2.0 kwani Rais Magufuli ni mbia wa maisha yenu?

    Mwanakijiji you're talking nonsense, Magufuli should be made responsible for the majority of covid deaths in TZ because of his attitude towards the desease.
Back
Top Bottom