Habari za leo Watanzania
Tukiwa tunaelekea ktk Uchaguzi mkuu, zimefika zile nyakati za Wanasiasa kuhama Chama hiki kwenda kile kwa Maslahi ya Kisiasa.
Naomba kuwagusia hawa Wanasiasa wawili kama mfano wa namna Wanasiasa wasivyo na Mioyo yenye Shukrani.
1.Freeman Aikael mbowe ameingia ndani ya...
Hakuna mtu anataka Mbunge awe mzaliwa wa eneo husika. Makosa makubwa sana ni kuwapa Jimbo wapita njia.
Makonda kilichompeleka Arusha ni Ukuu wa Mkoa. Inamaana mf. angeenda kuwa mkuu wa mkoa Mwanza angegombea Mwanza.
Sababu ya CCM wanajua Arusha ni wajinga wakaamua kumpitisha sababu wanajua...
Na hii ndio Spirt inayotakiwa kila Maeneo. Hata akiwa sio Mwaisa walau awe na Vinasaba vya hilo Jimbo.
Sasa Makonda Arusha ameenda sababu ya Ukuu wa Mkoa wanaamua kumpa na Ubunge. Huu si Ulimbukeni wa hali ya Juu sana.
Naomba kukuambia kuwa Arusha wameonyesha kiwango cha Juu sana cha Ujinga ambacho sikukitegemea kwa Majimbo ambayo yana hadhi ya Jiji
Wakuu wa Mikoa hawakatazwi kugombea Ubunge, kwanini Jamaa asirudi kwao kugombea. Mwaka 2020 alienda Kigamboni, Wajumbe wakamkataa.
Mwaka huu kaona eneo ambalo...
Swala la CCM kumuacha Makonda agombee Arusha ni ishara kuwa ile mitifuano kati ya Makonda na Gambo ilikua na Baraka za moja kwa moja toka katika Chama.
Namna gani Mkuu wa Mkoa (serikali) anagombana na Mbunge (Bunge) kisha Chama kinakaa kimya na kinasimama na Mkuu wa Mkoa.
Hii ni mihimili...
Sio Ukabila Jombaa, lazima Mbunge na Vinasaba vya Jimbo husika. Hauwezi kuwakilisha Jamii ambayo huijui.
Ni kama kiongozi wa Kiislam kwenda Kuwakilisha Jamii ya Kikristo. Hapo lazima atazingua.
Arusha inatambulisha kama Nembo ya Ujinga Tanzania.. Namna gani mnakubali kuwa na Utambulisho wa wadudu??
Namna gani mnakubali kuachia Jimbo kindezi namna hii
Arusha wana dhalilisha sana Tanzania, hawa Jamaa wanaweza kuuza utu wao kisha Fedha....
Makona ameenda Arusha sababu ya Ukuu wa Mkoa, hana Historia yoyote na Arusha. Leo hii anaenda kuchukua Form na kuna Wajumbe wengi tu wanashangilia.
Hii itajenga Msingi kwa Wakuu wa Mikoa mingine kutafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.