Tulipata mtu wa dhamani lakini tukaishia kumlaumu na hatimae kumsaliti mzee wa watu mwishoe akaenda zake....
Sasa hii ngoma iliyopo hatuna namna.. nikuomba Mungu tu afanye rehema zake
Tuanzishe fedha yetu ya Tanzanite yenye thamani kisha iingizwe mtaani kuiuwa shilingi... mfano tunaipa thamani senti 1 ya Tanzanite sawa na shilingi 100,000/= automatically shilling itapotea na uchumi kubaki juu
Umelogwa na waarabu sio bure... mimi nimezaliwa uhadzabeni huko singidani ndani ndani porini au usandaweni dodoma ndanindani... nakuwaje muarabu sasa? Mbona nazaliwa sijui kiarabu asipokuwa najua kihadzabe au kisandawe?
Kokote pale watu wanachapiwa, ispokuwa humu watu wanathubu kusema kwa uwazi. Kuna kamsemo chao humu wanasemaga sijui kinaanzaje lakini mwishoni kinasema "where we dare to talk"
Hiyo ni dalili ya bawarisi mzee... nenda hospitali wakucheki.. utapata dawa ya kupunguza maumivu bada ya hapo tafuta dawa asili haraka kabla tatizo halijawa kubwa hadi kuota kinyama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.