Mufti mkuu mapovu yalimtoka kwenye mawaidha ya Eid Al adha. Analalamika waislamu wengi wanaipinga BAKWATA.
Sasa ndo ajue waislamu sio wajinga. Binafsi siamini kama kuna muislam mwenye akili timamu anawasikiliza wale wapuuzi.
BAKWATA wanasimamia matumbo yao na CCM ndo mana wanapindisha Quran
Ongopa Vitu viwili hapa duniani
1. MUNGU
2. TEKNOLOJIA.
Hata hao wa wanaoendelea kuteka watu tunawajua ni maafisa wa usalama Taifa (Ushahidi Upo wa kutosha kabisa).
Sijui kama umenielewa Lumumba Buku7??
Huyo jamaa wa mwisho uliemzungushia anaitwa ''nhanntt5" ameweka order ya kununua bitcoin 100 (2,730,914,153/= tsh at current rate) ila sio kwamba anazo tayari.
Naomba Sana KARMA hii imfikie Rais, Bunge na Serikali yote. Hii serikali ina laana ndo maana haifanikiwi.
Believe me anguko la hii serikali litakuwa BAYA kuliko tunavyodhani. Kibaya zaidi Nchi inaendeshwa KISHIRIKINA.
Kwa hizi siasa chafu za CCM na serikali yake kwenye mpira wetu.
Leo nimefunga na kuomba Taifa Stars IFUNGWE irudi nyumbani kuunga mkoo jubudi.
Kumbe Taifa stars inawakilisha serikali ya CCM badala ya Taifa.
Narudia tena TUFUNGWEEEE tuwe na amani.
Mkuu kwa sasa bei ya bitcoin bado ipo chini sana (20,000,000/= is nothing). Nimefanya technical analysis nimegundua 1btc itakuwa na thamani ya zaidi 100,000,000/= tsh.
Brother if u have btc don sell.
Mbowe kaishia form 6 lakini ana kiingeresa kizuri kuzuri kuliko huyo huyo Mwenyekiti wenu wa CCM -taifa aliepata Phd kiujanja ujanja ndani ya miaka 3 ingawa hakuwa full time student.
Acha upumbavu. Mbona kila rais alieingia alishangiliwa vile vile!. Kwanza kwa Magufuli kelele zilipungua ukilinganisha na marais wenzake.
Ujinga umewakaa maCCM .pumbavu kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.