Recent content by Mzee wa Maombi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mulikeni mwalimu mkuu shule ya msingi mchikichini,mbagala ni fisadi.

    Ni rahisi kuhisi majungu wadau wenzangu,lakini ukweli ndio huo. Kwenye vikao na walimu wenzake anaendesha kwa vitisho huku akigoma kuwasilisha data vikaoni baada ya kuombwa na walimu wenzake.Anawatishia kutowapanga baadhi yao ambao wanaonesha nia ya kutaka kujua hali halisi ya maendeleo ya shule.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mulikeni mwalimu mkuu shule ya msingi mchikichini,mbagala ni fisadi.

    Wana jamii, naombeni dawa ya huyu Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mchikichini anakula michango ya wazazi, vilevile anawanyanyasa walimu wenzake kwamba hawamuwezi kwasababu ameiweka manispaa ya Temeke kwenye kiganja chake. Tangu afike shuleni hapa ameshajenga nyumba tatu za ukweli na ana magari...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tabia za akina dada zinazonikera!!

    Usisahau watumia Carolite, wananikera sana. Kila kona demu ni mweupe magumashi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimependana na mwanamke msomi

    dont trust a woman even if she is dead.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Wamasai huwa hawaugui malaria?!

    :whoo: :whoo:
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe unaua bandari yetu

    Ndio ujue hapo ni USANII unaendelea, wakili anatumia taaluma yake kwa kumtega boss wake utadhani yupo mahakamani anamshinikiza amg'oe mwenyekiti wa bodi. Anatumia udhaifu wa sera,sheria na taratibu mbovu zilizowekwa na wanaChama. Mfumo unatumiwa na wajanja kuumiza wengine kwa interest zao...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe unaua bandari yetu

    Mdau fikiri kabla hujapost upuuzi wako, unadhani bandari ni kama ofisi ya uwakili. Kuna taratibu zake za kiutendaji kama unavyoona fani zingine. Kama ukizungumzia wizi basi anza na huyo wakili coz wapo watu wana backup zake wakati akiwa wakili, alifanya usanii mkubwa ili apate pesa ya kwenda...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Werema alivyofanikiwa kupindua hoja ya Zitto

    Baada ya kubanwa na wabunge, ndipo Jaji Werema alisimama na kulegeza msimamo wake kwa kurejesha pendekezo la Serikali kushirikiana na vyombo vingine vya uchunguzi vya nje pamoja na wachunguzi binafsi kufanya kazi hiyo. Alikubali pia pendekezo la kuitaka Serikali kuja na mkakati wa kueleza nini...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe unaua bandari yetu

    Wadau tusikurupuke kumshambulia mtoa mada kuhusu wizi bandarini,kwa taarifa yenu yawezekana huyo waziri anapanga timu mpya ya kifisadi,jiulizeni ameivunja bodi lakini cha ajabu mwenyekiti amemuacha.....sijui sababu ana uhusiano na EL au sababu ni shemeji yake kamuolea dada yake unyakyusani...
  10. M

  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe unaua bandari yetu

    Hebu tujuze kilichokupata ulipoagiza hayo magari matatu,yawezekana agent wako ndio kakuumiza ukasingizia bandari.
Back
Top Bottom