Recent content by mzee wa kigonzile

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

    Very interesting. Nadhani ni wakati muafaka kwa watanzania kuidai katiba ya wananchi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Zitto atamani wapinzani waungane kuing’oa CCM madarakani

    Aisee! kama ile ripoti ya Chadema zidi ya mwenendo wa ZZK zidi ya kuisaliti chadema ina ukweli kwa 99% basi niseme ZZK ni mtu wa kuogopwa kama Ukoma.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Behind the curtain: September 11

    Mwandishi Prof Michel Chossudovsky wa Global Research ameeleza vizuri sana kwenye kitabu chake kinachoitwa America’s “War on Terrorism”. Amejaribu kuonyesha ni kwa jinsi gani America inavyotengeneza picha mbele ya uso wa dunia kama hizi Terror Groups ni maadui zake lakini behind the scene wao...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

    Ni ngumu kuamini ila ni tuhuma tu siyo kwamba ndiyo tayari yuko guilty. Ila ukitaka kuamini jiulize kwanini Kikwete aliiweka kabatini ile list ya wauza unga wakubwa hapa Tanzania, aliona nini?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

    Mzee wa Msoga alipokaa na majina kabatini alikuwa anakwepa aibu kama hizi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vita Dhidi ya Madawa ya Kulevya: JamiiForums na wanachama wake wanaongoza!. Lets Be More Proactive!

    Ni kweli watu tupaze sauti, enough is enough, alafu watu waache siasa kwenye issue sensitive kama hizi ambazo zinahusu mustakabali wa vijana wa taifa hili. Tunamuomba muheshimiwa Mwigulu Nchemba na yeye ndiyo awe front kwenye hii vita, siyo anagwaya gwaya, wazalendo wa nchi hii wako nyuma yake.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Hizi ni sanaa tu. Ukitaka kuprove hilo, angalia nchi zinazopambana na dawa za kulevya vita huwa inaongozwa na nani, angalia mfano wa Philipine. Na amini usiamini hii vita ikipiganwa kwa dhati watu wataingiza siasa tu, watu wataanza kuja na agenda ya haki za binadamu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Serikali yalikoroga ujenzi standard gauge, wachina wanyimwa zabuni, wagoma kutoa pesa

    Zitto ameshindwa kuficha hisia za kimaslahi alizonazo, ni kama mtu aliyewehuka, mara nchi ina njaa, mara nchi imenyimwa pesa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mvuto na upepo wa Magufuli umepotea au mitandao tu?

    Unajua hiki ulichokisema hapo, hata mimi kinanishangaza sana, tangu niifahamu CDM hakuna wakati ambao inafanya propaganda na siasa nyepesi kama kipindi hiki, sijui CDM wamekumbwa na kitu gani, au sijui ni wale wadau waliotoka CCM kwenda CDM ndiyo wanawafundisha aina hii ya kufanya siasa. Sidhani...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu is a great politician

    Dont trust politicians.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Serikali haina shamba; Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete walisaidia kwenye njaa, walikuwa na shamba?

    Mimi binafsi hapa nimeshindwa kumuelewa Mr.President. Ni kweli inawezekana wananchi walijisahau kutoweka akiba ya chakula, lakini sasa tunawasaidiaje tayaari wameshakosea na mtoto akiunyea mkono huwezi kukata mkono, serikali ilitakiwa kuwapa chakula cha msaada na kuwapa onyo kuwa siku nyingine...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sioni fundi wa kuumaliza upinzani nchini!

    Mkuu weka akiba ya maneno, haina haja ya kuumaliza upinzani, lengo lililopo ni kuudhoofisha tu. Na hakuna kipindi kigumu kwa upinzani kama kuelekea 2020, wapinzani wanatakiwa kucheza karata vema sana, la sivyo ukawa inaweza kuwa vipande vipande kabla ya 2020. Refer Lipumba's movie.
  13. M

    JamiiForums Tanzania CUF wakanusha wizi wa fedha. Wadai ni kelele zinazolenga kuwaondoa kwenye mstari...

    Hii ngoma ya CUF haiwezi kuisha mpaka warudi kwenye mzizi wa tatizo, la sivyo maneno ya mtabiri yatatimia.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Serikali inawafahamu wauza unga wote nchini, wengine baba zao wanasiasa wenye heshima kabisa kwenye hii nchi, cha ajabu wanaendelea kulindwa tu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Ninapokubaliana na kutofautiana na Magufuli

    Acha kejeli mkuu
Back
Top Bottom