Recent content by Mzee wa Gwata

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kero ya Huduma za Bima ya Afya MOI

    WanaJF. Natumai mubukheri wa afya. Napenda kutoa masikitiko yangu kutokana na utaratibu mbovu wa huduma za Bima ya Afya za NHIF katika hospital ya Muhimbili kitengo cha mifupa Almaarufu MOI. Maafisa wanaokusanya kadi za Bima ya Afya baada ya matibabu inamchukua mgonjwa SAA 1 hadi SAA 2 kupewa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Hali ya Hewa yatahadharisha uwepo wa mvua kubwa ukanda wa Pwani

    Mamlaka ya hali ya hewa wanatoa utabiri Wa Massa 24, utabiri Wa mwezi mmoja na utabiri Wa msimu. Jaribu kutumia taarifa zao kamwe hutajuta
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

    H Hakuna taasisi ovyo kama TANESCO. Wazuri tu kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii lakini uwajibikaji ni Zero kabisa. Hawajaapona ule ugonjwa wa Rushwa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Niambie kituko kimoja ushawahi kutana nacho kwenye filamu za bongo, mimi nilikutana na hiki...

    Hiyo tafsiri ya kiswahili kwenda kiingereza sijui anawafanyia ndani maana ni lugha gongana kila siku.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sumu iletayo kansa yagundulika katika mbegu za Alizeti(sunflower seeds)

    Nilidhani utafiti huu umefanywa na profeseli Wa Buguruni mwenyewe kutumia mabavu kwa kila leo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nilifunga ndoa ya kidini, nahitaji cheti cha ndoa cha serikali

    Nadhani muhusika kafungishwa ndoa ya mkeka na shekh bandia
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa

    Nimeshindwa Ku upload kwa Simu yangu nitaweka usiku kupitia computer. Karibu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi msiokatwa na bodi ya mikopo kaeni kimya

    MANENO mawili Tu KA-TA
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa

    Hahaaa. Asante mkuu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa

    120,000? Vyumba 3 self contained, library room,sitting room, dinning room. So wastani Wa chumba 30,000? Hapo dinning na sitting room bure. Wewe unajua kodi za vyumba kweli?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa

    Karibu MZEE utaongea na muhusika hatashindwa kukusikiliza na kukuelewa kwani ameifanyia innovation ya nguvu na haikaliwi na mtu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa

    Nakuhurumia Tu. Wenye kujua mahali sahihi pa kuishi watanitafuta kwani si wote wenye kupenda kuishi nyumba za kubanana kwenye mlango wako Jirani kaweka choo. Hizo hata 20,000 kwa mwezi zipo huko
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa

    Pia kuna servant quarter yake (almaarufu) banda LA uani chumba kimoja sitting room Na jiko na bafu lake vyote ndani bei 120,000 kwa mwezi kwa miezi Sita pia karibuni
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa

    Kutoka wapi? Angalia thamani si umbali unao determine bei. Unataka niamini kuwa nyumba ya udongo ya msasani ni aghali kuliko ghorofa LA buguruni? Any way kila MTU anamtazamo tofauti karibu ndugu
Back
Top Bottom