Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

Mbeya mjini umeme kuunganishiwa inahtajika nguzo moja lkn unaenda mwez wa sita huu kuna haja ya kwenda kuulizauliza ofsin
 
Kwanza nawapongeza wana TANESCO kwa kuona umuhimu Wa kutoa elimu ya Huduma yao kama kuunganishiwa Umeme kupitia mtandao pendwa.

Huwa nina sikitika sana mtu au kikundi Flani I cha watu kinapokua kinaanza kuleta kwere ya kuipoteza au Kuifungua mitandao muhimu na makini kama JF ya Tanzania,

Tizama shirika linalotoa nishati ya Umeme mpaka majengo meupe (magogoni) leo limeona ili kuwafikia Wateja na wadau wengi kwa wakati ni vema kujiunga na mtandao kama JF tena wakiwa verified user, ili tu kutoa elimu na kujibu hoja mbali mbali za kijamii na kihuduma. Hongera TANESCO hongera @JF kwa pamoja mna deserve credits za kazi nzuri.

Hapa Mimi Nimepata elimu mujarabu tena bure kabisa kupitia JF, Hakika shirika langula Umeme Tanzania me save matumizi (kwani wangeandaa kipindi Malumu kwa TV au radio au wangeandaa tangazo malumu) basi lingewagharimu prsa nyingi Sana na pia mtu kama Mimi lingenipita kushoto, ilakupitia jukwaa hili nimeperuzi na kudadisi mpaka nimeridhika kabisa. Mashirika au tasis zingine zijifunze kwa TAnNESCO umuhimu wa mitandao ya kijamii na tija zake kuliko kukaaa na kufikilia kuwafungia tu kila muda. Hizi ni zama za uwazi na uwajibikaji.
 
Nizadi kuwapongeza kwa kujua umuhim wa mitandao, safi sana endeleni kufanya kazi kwa nguvu zaidi
 
Acheni Uwongo nyie TANESCO. Kule masas tangu kulipia umeme adi kuunganishiwa inachukua zaidi ya Miezi 4 ya Kaz. Afu kwanin umeme wenu unakatikakatika kila wakat? Kule masas ni shida sn
 
M
Acheni Uwongo nyie TANESCO. Kule masas tangu kulipia umeme adi kuunganishiwa inachukua zaidi ya Miezi 4 ya Kaz. Afu kwanin umeme wenu unakatikakatika kila wakat? Kule masas ni shida sn

Tumepokea malalamiko yako, tunaomba utu inbox details ili tuweze kufuatilia. Asante
 
H
Ndugu TANESCO nimelipia umeme Nguzo2 urefu Mita100
kuanzia mwaka jana tareh19/10/2016 mpka Leo tarehe 24/04/2017 sijaunganishiwa umeme nimekuwa mtu wakuzungushwa kila nikienda Tanesco nazungushwa nimechoka.
Niliambiwa ndani ya siku60
Hakuna taasisi ovyo kama TANESCO. Wazuri tu kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii lakini uwajibikaji ni Zero kabisa. Hawajaapona ule ugonjwa wa Rushwa
 
tanesco mda mwingine mnasema uongo, sijui kama mmebadilika au la!!!

mwaka jana, eneo langu ilikua karibu na nguzo mita 15 ila imechukua hadi siku 60 baada ya kufanya malipo,

ni kwamba mmejirekebisha au ni kuridhisha umati,

asante
 
Mnazingua sana nyinyi Tanesco, niliomba kufungiwa umeme nikazungushwa kwa zaidi ya miezi sita, mara ooh kuna wateja wengi yaani visababu kibao!
Na sababu kubwa ilikuwa ni wahusika kutengeneza mazingira ya rushwa...
Madai yao makuu eti vifaa viko njiani stock imepungua
 
1. Natamani Sana, hata usiki huu, yupat shirika mbadala wa huu 'uozo' uitwao TANESCO.
2. Mateso ynypsabisha ni mengi, mengi sana yanajaza encyclopedia.
3. Zam hizi kung'ang'ania monopoly kwenye Huduma kama umeme ni ishara ya umaskini.
 
Back
Top Bottom