Nyumba inapangishwa

Mzee wa Gwata

Member
Apr 11, 2017
20
6
IMG_20170416_132750[1].jpg
IMG_20170416_132750[1].jpg
IMG_20170416_132750[1].jpg
IMG_20170416_132138[1].jpg
IMG_20170416_132622[1].jpg
IMG_20170416_131952[1].jpg
IMG_20170416_132138[1].jpg
IMG_20170416_132622[1].jpg
IMG_20170416_132750[1].jpg
IMG_20170416_131952[1].jpg
Nyumba ya kisasa yenye vyumba vitatu self contained na wash room ya famila /wageni jiko, library, sitting and dinning rooms zenye nafasi. Iko ndani ya geti na nafasi ya kupaki Magari kadhaa.
Inapatikana pugu Kichangani mita 350 toka barabara kuu ya pugu kwenda kisarawe/chanika
Bei yake ni 300,000 kwa mwezi kodi miezi Sita.
Mwenyewe anaishi nje ya nchi.
Nitafute
0656136607
Picha zimenishinda Ku attach ukiwa serious WhatsApp itatuwezesha
 

Attachments

  • IMG_20170416_132329[1].jpg
    IMG_20170416_132329[1].jpg
    135.6 KB · Views: 22
Mzee Pugu kichangani mbali sana aiseee kodi ilitakiwa kidogo iwe 250 kwa mwezi
 
Kutoka wapi? Angalia thamani si umbali unao determine bei. Unataka niamini kuwa nyumba ya udongo ya msasani ni aghali kuliko ghorofa LA buguruni? Any way kila MTU anamtazamo tofauti karibu ndugu
 
Pia kuna servant quarter yake (almaarufu) banda LA uani chumba kimoja sitting room Na jiko na bafu lake vyote ndani bei 120,000 kwa mwezi kwa miezi Sita pia karibuni
 
hata hiyo kubwa labda 120000
Nakuhurumia Tu. Wenye kujua mahali sahihi pa kuishi watanitafuta kwani si wote wenye kupenda kuishi nyumba za kubanana kwenye mlango wako Jirani kaweka choo. Hizo hata 20,000 kwa mwezi zipo huko
 
120,000? Vyumba 3 self contained, library room,sitting room, dinning room. So wastani Wa chumba 30,000? Hapo dinning na sitting room bure. Wewe unajua kodi za vyumba kweli?
Kiongozi usihangaike na watu ambao bado Wanakaa kwa mama zao hata bei za unga hawajui achilia mbali bei ya nyumba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom