Recent content by Mzee wa Gizani

  1. Mzee wa Gizani

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Deogratius Ndejembi hamuwezi Mkandarasi CHICO. Hata Magufuli alimshindwa. Injinia Bishanga anaonewa bure

    Kwa tunao mfahamu na kumjua Bishanga nje ndani tunakushangaa. Bishanga hakwenda mbeya Kwakua ni mchapa kazi la hasha. Alipelekwa mbeya Kwakua 1-Kulikua na internal conflict na watumishi wa Songwe. Kelele zilikua nyingi za unyanyasaji. Watumishi walinyanyaswa sana na huyu manager ambae ana...
  2. Mzee wa Gizani

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani: John Pambalu amepewa kesi ya uhaini

    Uhaini imekua kama kesi ya wizi Kila mtu anapewa tu siku hizi.
  3. Mzee wa Gizani

    JamiiForums Tanzania Hukumu haipo mnavyodhani

    Lissu atakutwa na Hatia, na ndio maana wameanza kuwapa kesi za uhaini wengine kwa kifungu hicho hicho maana precedent tayari.
  4. Mzee wa Gizani

    JamiiForums Tanzania Kwa Zena hatoki ntu?

    😀
  5. Mzee wa Gizani

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ananitaka

    Kula mke wa mtu sio sifa. Utakuja kupakatwa bila kilainishi. Miaka ya 2020 kulikua na kijana maeneo ya mbezi mwisho anaitwa Omari Jenga, alikua anatembea na mke wa sheikh mmoja malamba mawili. Yule sheikh alimuonya Mara kibao yule kijana lakini hakusikia. Siku ya siku alitafunwa mbaya zaidi...
  6. Mzee wa Gizani

    JamiiForums Tanzania Deogratius Ndejembi akerwa na taarifa ya udanganyifu wa TANROADS Mbeya

    Hawa machawa wanafikiri ni mpaka uwe Serikalini ndio unajua mambo.
  7. Mzee wa Gizani

    JamiiForums Tanzania Deogratius Ndejembi akerwa na taarifa ya udanganyifu wa TANROADS Mbeya

    Wewe huna unachojua Ukiambiwa jamaa ni muongo muongo, tapeli na fisadi elewa. Ukitaka ushahidi tembelea miradi aliyo isimamia akiwa mkoa wa Songwe. Tunduma turning point Ibungu-Kafwafwa Ndembo-Ngana concrete carriageway Chimbuya Parking Luanda-Idiwili Etc. Bado madili ya kupitisha magari...
  8. Mzee wa Gizani

    JamiiForums Tanzania Deogratius Ndejembi akerwa na taarifa ya udanganyifu wa TANROADS Mbeya

    Pole sana ukitaka umfahamu vizuri Bishanga ulizia songwe. Kama hutoi posho hakulipi kwa wakati. Kuna kampuni inaitwa Mbuya Constructors na NARMO ambayo Jana imemfukuzisha umeneja Meneja wa songwe ni kama hua wanampa mpunga mrefu jamaa. Huyo Meneja ni Ntu ya Dili.
  9. Mzee wa Gizani

    JamiiForums Tanzania Deogratius Ndejembi akerwa na taarifa ya udanganyifu wa TANROADS Mbeya

    Huyo Meneja anauzoefu wa utapeli na kusema uongo... Baadhi ya matukio yake 👉 https://youtu.be/veA6fg8QMSo?si=SRllK8Rq0jeHHaxc https://youtu.be/K_oq4z18NVI?si=mpzRiTAq6f-6K-an. Imagine mtu ana audacity ya kusema uongo mbele ya makamu wa Raisi. Atumbuliwe tu, ni Mzigo.
  10. Mzee wa Gizani

    JamiiForums Tanzania Kadogosa amuondoa Meneja wa TANROADS Songwe kutokana na kusuasua kwa upanuzi wa Barabara Tunduma

    Pale Songwe alikua kama Mungu mtu na sidhani kama alifurahi kutolewa pale, maana hua anatembeza sana pesa hivyo ni ngumu kuchukuliwa hatua. Vile vile Ananyanyasa watumishi kupita kiasi. Nimewahi kupita pale nikakuta watumishi wamepauka hawana furaha ya kazi kabisa.
  11. Mzee wa Gizani

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Lissu waibuka kidedea, Gereza la Ukonga lapewa maagizo

    Kutoa maelekezo ni rahisi, kazi maelekezo kupokelewa na kuheshimiwa.
  12. Mzee wa Gizani

    JamiiForums Tanzania Kadogosa amuondoa Meneja wa TANROADS Songwe kutokana na kusuasua kwa upanuzi wa Barabara Tunduma

    Huyu Meneja kaonewa, kiujumla kwa jinsi alivyo ikuta songwe imeharibiwa na Meneja alie hamishwa kwenda mbeya badala ya kutumbuliwa nasikitika kawa mhanga wa lidude likubwa.
  13. Mzee wa Gizani

    JamiiForums Tanzania Wahouthi waua Mahujaji huko Saudia-Arabia.

    Kwanini ni sawa kwa Saudi kuishambulia Yemen na makombora na ikaonekana sio tatizo Ila wakijibiwa ni shida.
  14. Mzee wa Gizani

    JamiiForums Tanzania I'm a single man with nothing to lose

    You have virginity to lose.
Back
Top Bottom