Recent content by Mzee wa Bandari

  1. Mzee wa Bandari

    Dkt. Slaa: Viongozi kuwa mstari wa mbele kwenye maandamano sio lazima

    Tundu Lissu, Lema na Mbowe watoto wao wote wapo nje ya nchi. Wanasubiri Ruzuku na Madola ya Maandamano kutoka kwa mabeberu. Wananchi tunasema, maandamano ni haki yao waandamane ila kwa sasa na sisi tupo bize na mambo yetu ya msingi kwenye maisha.
  2. Mzee wa Bandari

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hii ndiyo Chelsea niliyoiacha tangu Tuchel afukuzwe
  3. Mzee wa Bandari

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mbona vitoto vitoto hivi[emoji16][emoji16]
  4. Mzee wa Bandari

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Chelsea chama langu la zamani. Kumbe bado lipo
  5. Mzee wa Bandari

    Pamoja na uteuzi wa Dotto Biteko na Paul Makonda. Rais Samia bado hakubaliki kanda ya ziwa

    Kanda ya Ziwa tunamuunga mkono Rais Samia kwasababu Hakuna Maradi ambao amausitisha baada ya Mpendwa wetu kuondoka.
  6. Mzee wa Bandari

    John Heche yuko mubashara Star tv akichambua miswada ya sheria za Uchaguzi, azungumzia pia kurejea kwa Utekaji!

    Ndiyo inayotoa Elimu bure, na sasa inaleta bima ya Afya kwa wote.
  7. Mzee wa Bandari

    John Heche yuko mubashara Star tv akichambua miswada ya sheria za Uchaguzi, azungumzia pia kurejea kwa Utekaji!

    Hakuna kidume yoyote anaweza kuhoji uhalali wa Mbowe kuwa mwenyekiti wa kudumu pale Chadema. Lissu na wengine wote wanajua ile nafasi ni kwaajili ya Mbowe.
  8. Mzee wa Bandari

    John Heche yuko mubashara Star tv akichambua miswada ya sheria za Uchaguzi, azungumzia pia kurejea kwa Utekaji!

    Najua Heche akili hana, hawezi kuwa ameongea cha maana zaidi ya jazba na kujifanya mjuaji. Wakati hawezi kusema lolote kuhusu Mbowe anavyoiendesha Chadema
  9. Mzee wa Bandari

  10. Mzee wa Bandari

    John Heche yuko mubashara Star tv akichambua miswada ya sheria za Uchaguzi, azungumzia pia kurejea kwa Utekaji!

    Hao wote walikuwepo Bungeni, walifanya kipi cha maana? Jamaa hawajawahi kusifia lolote zuri linalofanyika nchi hii.
  11. Mzee wa Bandari

    John Heche yuko mubashara Star tv akichambua miswada ya sheria za Uchaguzi, azungumzia pia kurejea kwa Utekaji!

    Hapa umeonyesha akili unazo chache sana. Lowassa au Tundu Lissu huko Chadema alichukua fomu ya kugombea Urais na Nani? Hapo tunazungumzia miaka 20 ya uongozi wa Mbowe Chadema. Yani ni Mwenyekiti wa kudumu au? Sasa jiulize CCM wamepita wenyeviti wangapi? Mbowe yupo tu.
  12. Mzee wa Bandari

    John Heche yuko mubashara Star tv akichambua miswada ya sheria za Uchaguzi, azungumzia pia kurejea kwa Utekaji!

    Huwa anaendeshwa na jazba za kupuuzi sana. Na kujifanya mbabe. Kichwani hamna kitu. Pale Chadema wanamjua vizuri ndiyomana uchaguzi wa ndani ya chama walimpiga chini.
  13. Mzee wa Bandari

    John Heche yuko mubashara Star tv akichambua miswada ya sheria za Uchaguzi, azungumzia pia kurejea kwa Utekaji!

    Ingekuwa kweli haya unayosema, wananchi wangeshaitoa CCM. Ukiona hivyo jua wananchi bado wanaiunga mkono CCM. Dola zote huwa zinaangushwa na wananchi wengi ana sio wapigakura wachache
  14. Mzee wa Bandari

    John Heche yuko mubashara Star tv akichambua miswada ya sheria za Uchaguzi, azungumzia pia kurejea kwa Utekaji!

    Sijasikiliza alichoongea ila ninachojua Heche huwa na akili ndogo sana. Ni mtu wa kumezeshwa maneno hana uwezo wa kuchambua mswada wa sheria. Lazima atakuwa ameishambulia CCM kwa hoja za uongo uongo huku akiicha Chadema na kumuogopa Mbowe.
  15. Mzee wa Bandari

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Man U leo imecheza vizuri sana
Back
Top Bottom