Recent content by Mzee Uchwara

  1. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Atembelea eneo la ajali na kushiriki mazishi Iringa

    Tundulisu ndio msaliti aliposema hawaungani na Cuf kwa sababu amefunga ndoa na CCm na pia CUF ni ccm B. Lakini leo wameungana na CCM B na kuwa ukawa. Zito endelea kuteyea wanyonge hachana na wajinga kama hawa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wanake wazuri ni wa kutustarehesha na sio wa kuoa

    vipi na wewe cute?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanake wazuri ni wa kutustarehesha na sio wa kuoa

    mwizi mwenyewe anapotaka kwenda kuiba anamuomba mungu amsaidie ili aibe salama.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wanake wazuri ni wa kutustarehesha na sio wa kuoa

    kwanza wanawake wengi wanajiuza ni wazuri na pia wanacheza porno ni wazuri na warembo kweli. Pia hapa sio sehemu ya kuja kujifuza kuandika thread au wewe ulianza kujifunza kuandika mada na kujadili jf?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanake wazuri ni wa kutustarehesha na sio wa kuoa

    Wanaume wenzangu tunakosea sana tunapofunga ndoa na wanawake warembo. Wanawake wazuri wameumbwa ili watupe starehe kwasababu huwa wanatumia mda mwingi kujiremba na kufanya starehe kuliko kazi hasa.Hawa wanawake wa kiswahili pia ni tegemezi sana na wanatumia kipato kikubwa kuliko wanacho kiingiza.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zitto ndani ya kipindi cha Dakika 45 za ITV - Machi 16, 2015

    ZZT huyu jama ana akiri sana ukimsikiliza huwa ana hoja za msingi, tatizo la wanachama wa chadema huwa hawajibu hoja wanakurupuka sana kwa sababu ya chuki na akiri za kushikiwa embu tujaribu kutumia akiri zet kufikiri ndio tufanye maamuzi kama alivyo sema kardinali pengo, tuache kushikiwa akiri...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria: Afisa elimu wa Bagamoyo amezuia mshahara wangu

    Wewe hujapewa ruhusa ya kwenda kusoma kwa maana nyingine wewe ni mtoro kazini, sasa unataka msaada gani wakati huna ushaidi kwamba muajiri alikuruhusu ukasome! Hiyo imekura kwako kisheri wewe una makosa hapo hamna msaada wa kisheria labda uangalia njia nyingine.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naondoa upendo rasmi kwa mama yangu wa kambo

    Acha mawazo ya kijinga mzazi wako jukumu lake ni kukutunza ili ujitegemee na sio kukupa urithi wa mali amekupa elimu ina tosha, mtu kaamua kugawa mali zake alizotafuta, sasa akuombe ushauri wa nini! Amezitafuta mwenyewe sasa wewe unamiuza kichwa eti hakukushirikisha! Je kutafuta ulimsaidia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke amwagiwa maji ya moto ya kusongea Ugali kisa kachuma mahindi mawili

    Da pole xana dada mungu atakusaidia utapona
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano CHADEMA na Escape from Sobibor

    Hii habari yako inanikumbusha yaliyotokea KENYA, watu waliandamana kudai haki ya matokeo ya uchaguzi mkuu baada ya kibaki kujitangaza kuwa raisi, watu wengi sana walikufa , majerui walikuwa wengi na wengine nyumba zao zilichomwa hadi leo wako kwenye maema hawakujengewa nyumba. Wale waliokuwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano CHADEMA na Escape from Sobibor

    Hii habari yako inanikumbusha yaliyotokea KENYA, watu waliandamana kudai haki ya matokeo ya uchaguzi mkuu baada ya kibaki kujitangaza kuwa raisi, watu wengi sana walikufa , majerui walikuwa wengi na wengine nyumba zao zilichomwa hadi leo wako kwenye maema hawakujengewa nyumba. Wale waliokuwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sheria za Tanzania na majaji wakuu wa serikali

    Kipindi kile sheria zinatungwa mlikuwa mnasema raisi asihusishwe na kuingilia mchakato wa katiba na hadi kwenye bunge la katiba. Sasa leo mnalalamika raisi aingilie kati! Mbona vigeu geu nyie watu!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Onyo kwa vyombo vya Habari nchini ipo siku mtalipasua Taifa kwa uzembe huu

    Sasa hivi magazeti ya Tanzania yameacha kuandika mambo ya msingi yameengia kwenye ushabiki wa kisiasa. Hii ni hatari sana! Kwenye Tv unaona mtu anaongea vitu vizuri lakini kesho yake kwenye magazeti unaona wameandika vitu vya ajabu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Huu wizi mchana kweupe, Nani kaubariki barabara ya Mandela?

    yaani wewe kichwa chako kina shida! Unaona wizi unatendeka mbele ya macho yako unaangalia tu bila kuchukua hatua? Alafu unakuja kulalamika hapa? Alafu unalegeza sauti eti polisi alikuwepo! Ulinzi si wa polisi ni wa kila raia, hujasoma civics?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Sumaye kugombea urais kupitia chama cha upinzani ikiwa....

    Acha dhana ya kibaguzi wewe kama huna hoja ya msingi bora ukae kimya. Wanaopiga kura sio watu wa pwani, pwani ni sehemu ndogo sana ya Tanzania na wajumbe wanaomteua mgombea wa uraisi wa CCm wanatoka nchi nzima. Inaonekana wewe mbaguzi ndio mnaoeneza propaganda eti chadema chama cha kikanda.
Back
Top Bottom