Recent content by mzee toboa mambo

  1. M

    Massage parlour ni vituo vya ngono

    Kuna haja ya serikali kuwezesha wajasiriamali wa biashara hii kwa kuweka masharti kwa wenye biashara hii ifanywe kwa namna isiyohamasisha ngono. Ni huduma nzuri baada ya uchovu wako wa kazi na pale unapohisi viungo vyako kukakamaa. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Bongo Record Vs Mj-Record:Kati ya P-Funk Majani na Master Jay nani alitengeneza ngoma kali zaidi?

    Uzi mzuri ila hauna nyama unaonekana kimbaumbau Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Mjue Josiane, Miss Rwanda anayetikisa nchi

    Bila picha hainogi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Waziri wa Fedha: Ukusanyaji wa kodi unashuka, hauridhishi!

    Watam-KOLIMBA.....aendelee tu kujifanya anajikuna Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Paul Makonda amtaka Tundu Lissu kurudi Tanzania haraka sana

    Dunia inabadilika.. leo DAUDI MLYANGILI BASHITE amekuwa wa kumshauri TL!!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Nyumba ya Mapadre Seminari ya Segerea yateketea kwa moto

    Mpango wa Mungu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Hali ni Mbaya, Usijidanganye Ipo siku Utatoboa (Tafuta Mbadala au Rudi Kijijini)

    Vijana mna haja ya kuwa wabunifu na wajasiri. Dunia imefika katika kipindi ambacho watu wanashindanisha maarifa katika kupata majawabu ya mistakabali ya maisha yao. Ukibweteka utaumia japo sishauri watu wakate tamaa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom