Recent content by Mzee Sungura

  1. Mzee Sungura

    JamiiForums Tanzania Ipad 2 mpya inauzwa

    Taja bei bas mkubwa tuangalie mifuko yetu
  2. Mzee Sungura

    JamiiForums Tanzania Matiti yangu yote yanauma nahisi kama nataka kubleed msaada plz !!!??

    Kuna uhusiano gani kati ya kuuma matiti na kubleed?
  3. Mzee Sungura

    JamiiForums Tanzania Moderm & external disks

    Natafuta universal moderm kwa 30000 tu na External disk tutaelewana kutegemea na ukubwa wake. 0713807758 pia natafuta Housing ya Samsung C6625
  4. Mzee Sungura

    JamiiForums Tanzania Digital Camera, External Disk

    Nina Laki moja (100000) ninataka external disk ya 1TB. Pesa ipo cash bila zengwe. Mwenye nae kwa bei hiyo anitafute niko Dar. Pia Digital camera inahitajia. 0713807758 au mudisungura@gmail.com
  5. Mzee Sungura

    JamiiForums Tanzania Housing

    Natafuta Housing ya simu aina ya Samsung C6625. Aliyenae au anayejua zinakopatikana basi asisite kunipa taarifa kupitia 0713807758 au mudisungura@gmail.com
  6. Mzee Sungura

    JamiiForums Tanzania Jipatie universal modem!

    Bado unazo?
  7. Mzee Sungura

    JamiiForums Tanzania Kwa malaya bila kinga

    Mmmmmh...!
  8. Mzee Sungura

    JamiiForums Tanzania Polisi waliohusika na M.150 Wafukuzwa kazi!

    si wajiuzulu tu, mbona viongozi wanaiba hawashtakiwi bali wanajiuzulu tu
  9. Mzee Sungura

    JamiiForums Tanzania Mchungaji apandishwa kizimbani kwa biashara haramu

    dini ya sasa haiaminiki bora umuombe mungu kivyako kuliko kufuata matendo ya hao mashetani
  10. Mzee Sungura

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Kikwete ni balaa.......

    Kulipa hiyo pesa kwao hawataki lakin waambie wakachukue gesi au wasafirishe twiga utaona wanatekeleza fasta
  11. Mzee Sungura

    JamiiForums Tanzania Hussein Machozi alizwa vitu vyake akiwa gesti - Singida (Stanley)

    Unajua siku wezi maboss wao ni polisi ndio maana wizi unakomaa sana, eti kisa polisi wanapokea mshahara mdogo. Hiyo guest ni ya kuchunguzwa haraka sana
  12. Mzee Sungura

    JamiiForums Tanzania Kibanda ni nani?

    Udini, ukabila, havina maana cha msingi ni kuwatafuta hao wanaotumwa na mkubwa wao wateke watu na kuwapiga. Lakin bado eti mnasema hii ni nchi ya amani, iko wap hiyo aman?
  13. Mzee Sungura

    JamiiForums Tanzania Rangi za bendera ni ujumbe, uzalendo au urembo?

    Nchi maskini, mafisadi kibao, njaa kali, ajira hakuna, n.k lakin bado mnawaza bendera badala ya kuwaza kukomboa nchi toka kwa wachache
  14. Mzee Sungura

    JamiiForums Tanzania Gari ya serikali kuwekwa tinted, hii imekaaje

    Wizi mtupu, kama hii ni nchi ya amani wanaficha nini?
  15. Mzee Sungura

    JamiiForums Tanzania Housing

    natafuta housing ya samsung C6625. Fasta na cash ipo. Nicheck 0713807758
Back
Top Bottom