Recent content by Mzee Nondo

  1. M

    Kitwanga: Sijawahi kuingia bungeni nikiwa nimelewa

    Mbona mawazo haya pale alipotumbuliwa hukusema ? Iweje leo? Nini ajenda yako? You can fool all of the people for some of the time you can't fool all of the people for all of the time.
  2. M

    Thinking beyond measures: CCM ni 'mafundi' wa kutengeneza 'matukio' na 'Wapinzani feki'

    If you continue thinking beyond measures, your thinking is absolutely limeted, is better you think without measures its when you can come up with unlimited solutions.
  3. M

    Chama imara huzaa Serikali imara

    Ukweli huu umejidhihirisha awamu ya 5 Wafitini, wachochezi, wasiokuwa wazalendo, wanafiki, mabeberu, mafisadi, wala rushwa kwa ujumla wao itaeaona wanatoa majibu kwenye komenti kama hizi muhimu zenye tija, wao hutoa majibu yenye pumba tupu. Subiri utaona, aidha watanyamaza kama hawajaiona, au...
  4. M

    Tundu Lissu: Mwalimu Nyerere hawezi kufanana na Magufuli

    Nikweli hilo liko Wazi, hawawezi kufanana, Nyerere alizoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi kwa Mujibu wa Tundu Antipas Lisu.
  5. M

    Tetesi: Inadaiwa Bernard Membe atakuja kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi

    Kamwe huyo Mtu wako hatapata Urais hata wa TFF, Atabaki kubwabwaja mitandaoni sambamba na nyinyi wasaka buku
  6. M

    Yatakayokuja kumkuta huyu bwana baada ya kuondoka ofisini

    Nimelisoma kwa makini sana andiko lako, na nimegundua kuwa umejitahidi kwa kiwangu kikubwa sana kumuelezea huyu Mzee Alkael Freeman Mbowe, nina hakika yeye mwenyewe akilisoma andiko lako au hata washabiki wake wakilisoma tu, mara moja watamshauri aachie ngazi, nikweli kabisa amekaa kwenye nafasi...
  7. M

    TRA yakusanya tr.15.9 July -Juni 2029

    Mshahara utasaidia nini ukiongezwa? Je wafugaji waongezwe nini? Wakulima waongezwe nini? Wafanyabiashara waongezwe nini? Wachimbaji madini waongezwe nini? Kumbuka fedha unayotaka inatokana na kodi za kila mtu, hivyo kila mmoja anahaki kuifaidi. Sasa kwanini nyongeza iwe kwa kundi moja tu? Acha...
  8. M

    TRA yakusanya tr.15.9 July -Juni 2029

    Soma masahihisho hapo chini wewe vip?
  9. M

    Kampeni ya kuikataa Vodacom

    Zima yako au na wewe uichome moto kama huyo mwathrika wa bisibisi
  10. M

    TRA yakusanya tr.15.9 July -Juni 2029

    Kama hutaki kanunue kamba nawewe uji........
  11. M

    TRA yakusanya tr.15.9 July -Juni 2029

    Sikiliza Clip utaelewa
  12. M

    TRA yakusanya tr.15.9 July -Juni 2029

    Kwani Chato ni Uingereza ?
  13. M

    TRA yakusanya tr.15.9 July -Juni 2029

    Kupongeza ndiyo habari ya mjini. Na wajanja wanapongeza, huoni hata Sultan wa Chadema kapongeza?
  14. M

    TRA yakusanya tr.15.9 July -Juni 2029

    Akili yote imeishia kwenye ngono tupu, duh...nyumbu bhana
Back
Top Bottom