Recent content by Mzee nan

  1. M

    Polisi wazingira nyumba ya Lissu, Muliro aeleza sababu 'Sisi tumeweka ulinzi wa kawaida'

    Kamanda anavyotoa ufafanuzi ndiyo Anazidi kuharibu na kuonekana hamnazo
  2. M

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Kheri kumdai jobless kuliko kumdai mtumishi Ccm walipeni Watumishi watulipe pesa zetu tumechoka kupitapita Nmb
  3. M

    Wasanii kama Meja Kunta inakujae mama yako anauza samaki usiku anateseka na anaishi sehemu ya ajabu

    Wasanii wanaishi maisha fake hawana pesa kama wanavyotuaminisha
  4. M

    Kumbukizi: Peugeot 504.. Chuma cha pua. Chombo ya fundi

    Dah Umenikumbusha mbali Sana Mzee Alikuwa Na 504 na 505 sifa kuu za hizo gari zilikuwa zinafukia shimo hatariWrite your reply...
  5. M

    Kumbukizi: Peugeot 504.. Chuma cha pua. Chombo ya fundi

    Dah Umenikumbusha mbali Sana Mzee Alikuwa Na 504 na 505 sifa kuu za hizo gari zilikuwa zinafukia shimo hatariWrite your reply...
  6. M

    DOKEZO Njaa na madeni kwa vibarua Tanesco Shinyanga mjini

    Vijana wa Tanesco hawan tofauti na Police Usiwaonee huruma
  7. M

    Ulijifunza kuendesha gari ukiwa na umri gani?

    Nilijifunza kuendesha gari nikiwa na miaka 14 nilijifunzia kwenye Fiat mkasi juu mkasi chini
  8. M

    Uliwahi kusikia nini kuhusu madereva wa malori?

    Huwa awaulizi kiwango cha mshahara wanauliza Engine inakulaje wese
  9. M

    DOKEZO Kuna Mama anauza gongo na bangi wazi kata ya Moshono mtaa wa Mtoni, karibu na chuo cha uhasibu Arusha. OCD Arusha Mjini tusaidie

    Mtoa hoja ulishawahi kujiuliza Bangi inavutwa viwanjan na Polisi wapo lkn wavutaji hawakamatwi Na huwa wanajukwaa lao maalumu la kukaa na kuvuta
  10. M

    MSAADA. APP BZURI YA KUSET UKIPIGIWA SIMU ITAJE MAJINA YALIYOSEVIWA KWENYE SIMU

    Mwaka 2011 nilikuwa na simu aina ya Nokia E 55 Ilikuwa inauwezo wa kutaja jina nililosave ila majina ya kibantu ilikuwa shida kutamkwa
  11. M

    Kama una ndoto za kuanzisha biashara anza kwanza kutafuta wazo la biashara kabla ya mtaji au tafuta vyote kwa wakati mmoja

    Umeandika kitu sahihi sana,Me nilipata wazo la kufungua Car wash mwaka 2009 Mtaji nilikujaupata mwaka 2013 Sikufanya makosa nilifungua Car wash.
Back
Top Bottom