Recent content by mzee jongo

  1. M

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    pia wakuu mi ninatrade after news release hususa ni saa nane mchana mpaka saa kumi jioni kwakua cna uwezo wa kutambua trend ya market na muda gani itageuka(trend reversal) kama kuna mtu mwenye ufahamu zaidi juu ya kuingia kwenye trade bila ya news release anawezaje kutambua muda gani aingie na...
  2. M

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    habari wakuu kwanza shukrani kubwa sana maana nimejifunza mambo mengi sana hapa sasa ninahitaji msaada je ninaweza kudiposit ela kwa benki ya crdb kwenye live acc yangu kupitia visa acc na je min deposit ni usd 100 maana platform ninayotumia (iq option) inanionesha min deposit ni usd 10 ninaomba...
  3. M

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    ukiona mtu anaiga maisha ya mtu ujue hana maisha yake halisi ishi kwa mfumo wako wewe mkuu ucpende kuiga iga utakua mtumwa
  4. M

    msaada wa downloader accelerator

    wakuu naombeni msaada downloading dpeed ya pc yangu ipo chini sana hata kama kuna mtandao mzuri naombeni mnisaidie kama kuna download accelerator nzuri
  5. M

    Ugunduzi wa Erasto Mpemba, (Maji ya moto kuganda haraka kuliko ya baridi) 'The Mpemba Effect' kwanini hatukufundishwa mashuleni?

    Kiukweli theory ni nzuri na yakipekee ila nauliza mpemba effe inafaida gani katika universe
  6. M

    Ugunduzi wa Erasto Mpemba, (Maji ya moto kuganda haraka kuliko ya baridi) 'The Mpemba Effect' kwanini hatukufundishwa mashuleni?

    Hata Archimedes alifanya ugunduzi wakati anaoga ijapokua yeye co wakwanza kuoga ila ugunduzi ni pale unapoweza kujibu maswali haya juu ya udhani huo HOW? WHY? And significance of it
  7. M

    Watoto wa Mawaziri wang'ara bodi ya mkopo wakulima walia

    Bado haijajulikana nan kakosa kwakua mchakato bado unaendelea na kama mtt wa waziri kapata mkopo lakini hajapendelewa kwakua anavigezo shida iko wap afu ni vema ungebadilisha title kwakua ni mtoto wa waziri co watt wa mawaziri
  8. M

    Msaada kwenye incubator

    ni automatic incubator XM 18D direct from china Tsh 2 millions ya mayai 500 ya kuku inatoa kwa 96% ila ya bata mara mbili nimekosa
  9. M

    Msaada kwenye incubator

    mkuu nimeyaacha kwa siku zaidi ya 35 kwani nikiamin kua humidity huenda ni kubwa sana maana nakala nyingine zinasema ni 50%RH nami natumia 60%RH
  10. M

    Msaada kwenye incubator

    nimejaribu kupitia majarida mbalimbali nmekuta conditions za kuku na bata zinaendana isipokua bata ni siku 28 ambazo ni joto nyuzi 37.8 na unyevu ni RH 60% lakini bata kwangu ni hola
  11. M

    Msaada kwenye incubator

    wakuu nna automatic incubator lakini cjapata kifaranga hata kimoja cha bata mara mbili mfululizo lakini mayai ya kuku yanatoka vizuri tu naombeni msaada wakuu
  12. M

    MSAADA: Jinsi ya kufungua movie iliyofungwa zip

    haaa kumbe ndo ivo mkuu hata mimi nahitaji kudownload the magnificent seven nami pia nimepata quality feki inamaana nayo bado tuu
Back
Top Bottom